BODI YA LIGI YAWEKA KOMBE MOJA MWANZA, MOJA DAR ES SALAAM

BODI YA LIGI YAWEKA KOMBE MOJA MWANZA, MOJA DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BODI YA LIGI YAWEKA KOMBE MOJA MWANZA, MOJA DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BODI YA LIGI YAWEKA KOMBE MOJA MWANZA, MOJA DAR ES SALAAM
kiungo : BODI YA LIGI YAWEKA KOMBE MOJA MWANZA, MOJA DAR ES SALAAM

soma pia


BODI YA LIGI YAWEKA KOMBE MOJA MWANZA, MOJA DAR ES SALAAM


 Image result for picha za kombe la dunia


Mwambawahabari

Huku Bingwa wa Ligi Kuu Bara akitarajiwa kupatikana leo, Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) imeandaa makombe mawili kwa ajili ya kumkabidhi bingwa, moja lipo Dar es Salaam na lingine lipo Mwanza.
 
Kombe moja leo litakuwepo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ambapo Simba inacheza na Mwadui FC ya Shinyanga na lingine litakuwa Mwanza kwenye Uwanja wa CCM Kirumba ambapo Yanga inacheza na Mbao FC. 
 
Yanga na Simba zote zinawania ubingwa lakini Yanga ndiyo yenye nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa rasmi kwani ina pointi 68 kileleni wakati Simba ni ya pili ikiwa na pointi 65.
 
Ili Yanga iwe bingwa inahitaji sare hata kufungwa idadi ndogo ya mabao, wakati Simba itahitaji ushindi wa mabao 12-0 huku ikiiombea Yanga kipigo.
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura amesema wameandaa makombe mawili moja litakuwepo Uwanja wa Taifa na lingine CCM Kirumba, Mwanza.
 
“Tumejiandaa kuhakikisha bingwa atakayepatikana kesho (leo) anakabidhiwa kombe lake mara baada ya mechi kumalizika.
 
“Bado bingwa hajajulikana kati ya Simba na Yanga na mechi zao za mwisho wanacheza kwenye viwanja tofauti, hivyo ni lazima tuandae makombe mawili.
 
“Hivyo, tayari tumeyaandaa makombe mawili kati ya hayo moja tutalikabidhi kwa bingwa atakayelichukua kati ya Simba na Yanga,” alisema Wambura bila ya kutaka kufafanua kuhusu utaratibu huo.


Hivyo makala BODI YA LIGI YAWEKA KOMBE MOJA MWANZA, MOJA DAR ES SALAAM

yaani makala yote BODI YA LIGI YAWEKA KOMBE MOJA MWANZA, MOJA DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BODI YA LIGI YAWEKA KOMBE MOJA MWANZA, MOJA DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/bodi-ya-ligi-yaweka-kombe-moja-mwanza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BODI YA LIGI YAWEKA KOMBE MOJA MWANZA, MOJA DAR ES SALAAM"

Post a Comment