BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA LEO

BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA LEO
kiungo : BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA LEO

soma pia


BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA LEO



Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha. Semina hiyo, itafuatiwa na Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki hiyo, utakaofanyika kesho Mei 20, 2017.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.Semina hiyo, itafuatiwa na Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki hiyo, utakaofanyika kesho Mei 20, 2017.

Mwenyekiti wa semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB, Mwasajuni akiongoza semina hiyo

Meja kuu ikifatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwa wanahisa.

Muwasilisha Mada ya iliyohusu Mambo yananoathiri Thamani na Bei za Hisa katika Soko, Laurian Malauri kutoka Orbit Securities akisisitiza jambo wakati akiwasilisha mada yake hiyo.

Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambwa akipitia moja ya vitabu vya mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.

Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB PLC, Tully Mwambapa akifatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.

Naibu Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya CRDB PLC, Saugata Bandyopadhyay (kulia) na Esther Kitoka wakiteta jambo, wakati wa ufunguzi wa semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.



























































































































































































Hivyo makala BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA LEO

yaani makala yote BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/benki-ya-crdb-yawapa-semina-wanahisa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA LEO"

Post a Comment