Balozi Seif Ali Iddi arejea kutoka Jukwaa la Dunia la Uchumi (World Economy Forum) Jordan

Balozi Seif Ali Iddi arejea kutoka Jukwaa la Dunia la Uchumi (World Economy Forum) Jordan - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi Seif Ali Iddi arejea kutoka Jukwaa la Dunia la Uchumi (World Economy Forum) Jordan, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi Seif Ali Iddi arejea kutoka Jukwaa la Dunia la Uchumi (World Economy Forum) Jordan
kiungo : Balozi Seif Ali Iddi arejea kutoka Jukwaa la Dunia la Uchumi (World Economy Forum) Jordan

soma pia


Balozi Seif Ali Iddi arejea kutoka Jukwaa la Dunia la Uchumi (World Economy Forum) Jordan

Na Othman Khamis, OMPR
 AmeMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewasili Zanzibar akitokea Mjini Amman, Jordan, alikohudhuria Jukwaa la tisa la Dunia la Uchumi (World Economy Forum) la Siku Tatu lililohudhuriwa na zaidi ya Wajumbe 2,000 kutoka Nchi 58 Duniani. 
Balozi Seif alimuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwenye Jukwaa hilo la Kanda ya Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika lililoshirikisha Viongozi Wakuu wa Nchi, Wafanyabiashara,wamiliki wa Makampunni ya Kimataifa, 
Wawakilishi wa Taasisi za Kiraia, Mashirikia ya Kimataifa, Wana Habari pamoja naVijana wapatao 2,000. 
 Katika Mkutano huo wa Jukwaa la Dunia la Uchumi Balozi Seif na Ujumbe wake alishiriki Washa ya Utalii iliyojikita zaidi katika masuala ya Kujenga Uchumi kwa Mataifa yaMashariki ya Kati na yale ya Kanda ya Afrika ili kuona njia gani zinaweza kutoa fursa za ajira kwa Vijana kwa kutumia Teknolojia ya Kisasa Mkutano huo wa Jukwaa la Uchumi Duniani ulifunguliwa na Kiongozi wa Jordan Mfalme wa Pili Abdullah Bin Al-Hussein kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa King Hussein Bin Talal katika Bahari Nyeusi. 
 Jukwaa la Uchumi la Dunia  limeasisiwa Mwaka 1971 chini ya Muanzilishi na Mwenyekiti wake Profesa Klaus Schwab huko Davos, Switzerland.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na baadhi ya Mawaziri na Watendaji Wakuu wa Serikali mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume akitokea Nchini Jordan kushiriki Mkutanowa Jukwaa la Dunia la Uchumi akimuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Mauungano wa Tanzanmia Dr. John Pombe Magufuli.
Balozi Seif  Kushoto akibadilishana Mawazo na Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika chumba cha Watu Mashuhuri (VIP) kongwe. Picha na OMPR, ZNZ.


Hivyo makala Balozi Seif Ali Iddi arejea kutoka Jukwaa la Dunia la Uchumi (World Economy Forum) Jordan

yaani makala yote Balozi Seif Ali Iddi arejea kutoka Jukwaa la Dunia la Uchumi (World Economy Forum) Jordan Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Seif Ali Iddi arejea kutoka Jukwaa la Dunia la Uchumi (World Economy Forum) Jordan mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/balozi-seif-ali-iddi-arejea-kutoka.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Balozi Seif Ali Iddi arejea kutoka Jukwaa la Dunia la Uchumi (World Economy Forum) Jordan"

Post a Comment