BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI INDIA ATEMBELEA OFISI ZA TIC

BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI INDIA ATEMBELEA OFISI ZA TIC - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI INDIA ATEMBELEA OFISI ZA TIC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI INDIA ATEMBELEA OFISI ZA TIC
kiungo : BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI INDIA ATEMBELEA OFISI ZA TIC

soma pia


BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI INDIA ATEMBELEA OFISI ZA TIC

Balozi Mteule wa Tanzania nchini India, Baraka Luvanda akiongea akipokea Kitabu cha maswala ya Uwekezaji kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari wakati Balozi huyo alipotembelea kituo hicho, Balozi Luvanda ameiomba TIC iweze kushirikiana naye ili kuweza kuongeza idadi ya Wawekezaji wa India nchini Tanzania kwenye sekta mbalimbali kama Afya, viwanda na Utalii. Naye Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji amesema India ni mshirika mkubwa wa Tanzania katika Uwekezaji na moja kati ya nchi tano bora zenye uwekezaji mkubwa hapa nchini na kumuomba Balozi Luvanda kuhakikisha anajitahidi kutangaza fursa zaidi za Uwekezaji zilizopo hapa nchini ili uwekezaji uwe na manufaa kwa maeneo mengi zaidi ya nchi.
Balozi Mteule wa Tanzania nchini India, Baraka Luvanda (wa pili kushoto) akipata maelezo mafupu kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari (kulia) wakati Balozi huyo alipotembelea kituo hicho jana.


Hivyo makala BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI INDIA ATEMBELEA OFISI ZA TIC

yaani makala yote BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI INDIA ATEMBELEA OFISI ZA TIC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI INDIA ATEMBELEA OFISI ZA TIC mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/balozi-mteule-wa-tanzania-nchini-india.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI INDIA ATEMBELEA OFISI ZA TIC"

Post a Comment