title : ACT WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUWAONDOA WATUMISHI HEWA.
kiungo : ACT WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUWAONDOA WATUMISHI HEWA.
ACT WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUWAONDOA WATUMISHI HEWA.
Mwambawahabari
Na Mtumwa Ally
CHAMA cha Act Wazalendo kimempongeza Rais John Pombe Magufuli kwa juhudi alizozifanya kwa kuwaondoa watumishi wa hewa ambao hawana vyeti.
Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Mkoa wa Dar es Salaam, Salum Soud wakati alipokua katika sherehe ya kutimiza miaka mitatu kwa chama hicho.
Alisema kuwa, juhudi alizozionesha ni Rais John Magufuli ni mfano wa kuigwa kwani kuna kundi kubwa ambali halina ajira hivyo itakua ni fursa ya pekee kwa vijana wetu kuweza kupata ajira.
Hata hivyo , alisema chama hicho kinajivunia mafaniko makubwa walioyapata ndani ya muda mfupi ambapo wanefanikiwa kuongeza matawi mengi ikiwemo Mwanamtoti kata ya kijichi Manispaa ya Temeke.
Aidha alisema, katika sherehe hizo ambazo zilienda sambasamba na kufungua kongamano la kujadili sera za chama pamoja na kuongeza wanachama wapya 26 kutoka vyama vyengine.
" Chama chetu ni kidogo kuzaliwa ukilinganisha na vyama vyengine lakini tumeweza kupata mafanikio makubwa ambapo matarajio yetu ni kufikisha idadi ya wanachama hadi kufikia laki mbili kutoka elf 78 waliopo sasa ifikapo 2017.
Hivyo makala ACT WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUWAONDOA WATUMISHI HEWA.
yaani makala yote ACT WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUWAONDOA WATUMISHI HEWA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ACT WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUWAONDOA WATUMISHI HEWA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/act-wampongeza-rais-magufuli-kuwaondoa.html
0 Response to "ACT WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUWAONDOA WATUMISHI HEWA."
Post a Comment