title : Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni leo
kiungo : Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni leo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni leo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Mawaziri kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, Aprili 19, 2017. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Mafunzo ya Ufundi Mhandisi Stella Manyanya, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchengerwa kwenye jengo la utawala la bunge mjini Dodoma Aprili 19, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni leo
yaani makala yote Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-bungeni-leo.html
0 Response to "Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni leo"
Post a Comment