VODACOM YATOE ELIMU YA HISA SAUT MWANZA

VODACOM YATOE ELIMU YA HISA SAUT MWANZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VODACOM YATOE ELIMU YA HISA SAUT MWANZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VODACOM YATOE ELIMU YA HISA SAUT MWANZA
kiungo : VODACOM YATOE ELIMU YA HISA SAUT MWANZA

soma pia


VODACOM YATOE ELIMU YA HISA SAUT MWANZA

Meneja wa wateja wakubwa kutoka wakala wa hisa(Orbit Securities) Godfrey Gabriel,akiwasilisha mada ya umuhimu wa kununua hisa kwa wanafunzi wa chuo cha Mtakatifu Augustine Mwanza leo, wakati wa semina iliyofanyika chuoni hapo leo. 
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania Jacqueline Materu,akizungumza na wanafunzi wa chuo cha Mtakatifu Augustine Mwanza leo, wakati wa semina ya elimu ya ununuzi wa hisa. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Oparesheni wa Kampuni ya uwakala wa hisa ya Oarbit Security Juventus Simon, akijibu maswali ya wanafunzi wa chuo cha Mtakatifu Augustine Mwanza leo, wakati wa semina ya umuhimu wa ununuaji wa hisa iliyofanyika chuoni hapo leo. 
Rais wa Serikali ya wanafunzi wa chuo cha Mtakatifu Augustine Makamba Bahati,akizungumza jijini Mwanza leo,wakati wa semina ya umuhimu wa ununuaji wa hisa iliyofanyika chuoni hapo. 
Wanafunzi wa chuo cha Mtakatifu Augustine, wakijisomea vipeperushi vinavyoonyesha jinsi ya kununua hisa za Vodacom Tanzania, wakati wa semina ya umuhimu wa ununuaji wa hisa iliyofanyika chuoni hapo jijini Mwanza leo.


Hivyo makala VODACOM YATOE ELIMU YA HISA SAUT MWANZA

yaani makala yote VODACOM YATOE ELIMU YA HISA SAUT MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM YATOE ELIMU YA HISA SAUT MWANZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/vodacom-yatoe-elimu-ya-hisa-saut-mwanza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VODACOM YATOE ELIMU YA HISA SAUT MWANZA"

Post a Comment