SERENGETI BOYS YAICHAPA GABON MCHEZO WA KIMATAIFA NCHINI MOROCCO

SERENGETI BOYS YAICHAPA GABON MCHEZO WA KIMATAIFA NCHINI MOROCCO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERENGETI BOYS YAICHAPA GABON MCHEZO WA KIMATAIFA NCHINI MOROCCO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERENGETI BOYS YAICHAPA GABON MCHEZO WA KIMATAIFA NCHINI MOROCCO
kiungo : SERENGETI BOYS YAICHAPA GABON MCHEZO WA KIMATAIFA NCHINI MOROCCO

soma pia


SERENGETI BOYS YAICHAPA GABON MCHEZO WA KIMATAIFA NCHINI MOROCCO

IMG-20170403-WA0035
Timu ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys leo imeifunga Gabon mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki mjini Rabat, Morocco.
Asante kwa wafungaji wa mabao hayo, Kelvin Nashon Naftali dakika ya 18 na Ibrahim Abdallah Ally dakika ya 75.
Serengeti Boys imeweka kambi ya mwezi mmoja nchini Morocco kujiandaa na Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17, zinazotarajiwa kuanza Mei 14 hadi 28, mwaka huu nchini Gabon.
Huo unakuwa mchezo wa nne wa maandalizi kwa Serengeti kujiandaa fainali za Gabon, baada ya kuifunga Burundi mara mbili, Machi 30 mabao 3-0 na Aprili 1 mabao 2-0, mechi zote mbili zikipigwa Uwanja wa Kaitaba, Bukoba, kabla ya kulazimishwa sare ya 2-2 na Ghana ‘Black Starlets’ Aprili 3 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Serengeti Boys itakuwa kambini mjini Rabat hadi Mei 1, mwaka huu itakapowenda Younde, Cameroon kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya wenyeji Mei 3 na 6, mwaka huu.
Mei 7 timu hiyo itakwenda Gabon ambako imepangwa kundi B pamoja na timu za Ethiopia ambao wamechukua nafasi ya Mali iliyofungiwa na FIFA, Niger na Angola, wakati Kundi A lina timu za wenyeji, Gabon, Guinea, Cameroon na Ghana.


Hivyo makala SERENGETI BOYS YAICHAPA GABON MCHEZO WA KIMATAIFA NCHINI MOROCCO

yaani makala yote SERENGETI BOYS YAICHAPA GABON MCHEZO WA KIMATAIFA NCHINI MOROCCO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERENGETI BOYS YAICHAPA GABON MCHEZO WA KIMATAIFA NCHINI MOROCCO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/serengeti-boys-yaichapa-gabon-mchezo-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERENGETI BOYS YAICHAPA GABON MCHEZO WA KIMATAIFA NCHINI MOROCCO"

Post a Comment