RAHCO Yabariki Ombi la Askofu Gwajima Kununua Treni ya Umeme

RAHCO Yabariki Ombi la Askofu Gwajima Kununua Treni ya Umeme - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAHCO Yabariki Ombi la Askofu Gwajima Kununua Treni ya Umeme, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAHCO Yabariki Ombi la Askofu Gwajima Kununua Treni ya Umeme
kiungo : RAHCO Yabariki Ombi la Askofu Gwajima Kununua Treni ya Umeme

soma pia


RAHCO Yabariki Ombi la Askofu Gwajima Kununua Treni ya Umeme


Image result for picha za gwajima

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amekaribishwa kuwa anaweza kuendesha huduma ya usafiri wa treni na kutaka wadau wengine wenye nia kama hiyo wajitokeze.

Katika ibada iliyofanyika juzi, Askofu Gwajima aliwaambia waumini wake kuwa amedhamiria kununua treni ya umeme itakayogharimu Sh11 bilioni, baada ya Rais John Magufuli kuzindua mradi wa ujenzi wa reli pana (standard gauge) itakayokuwa na kasi zaidi ya treni ya sasa na uwezo wa kuchukua shehena kubwa.

Ujenzi wa reli uliozinduliwa na Rais Magufuli Aprili 12, utakamilika ndani ya miezi 30 na awamu ya kwanza itaanzia Dar es Salaam hadi Morogoro, treni yake itakuwa na kasi ya kilomita 160 kwa saa, ikibeba mabehewa 100.

Msemaji wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (Rahco), Catherine  Moshi alisema kampuni hiyo  imebariki uamuzi huo wa kuwekeza katika usafiri wa reli, lakini askofu huyo anatakiwa kuomba kibali  Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

“Tunamkaribisha mchungaji, hii ni biashara kwetu na huyu ni mwekezaji tena wa ndani. Hatuwezi kumuangusha cha muhimu ni kufuata utaratibu tu,’’ alisema Catherine.


Hivyo makala RAHCO Yabariki Ombi la Askofu Gwajima Kununua Treni ya Umeme

yaani makala yote RAHCO Yabariki Ombi la Askofu Gwajima Kununua Treni ya Umeme Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAHCO Yabariki Ombi la Askofu Gwajima Kununua Treni ya Umeme mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/rahco-yabariki-ombi-la-askofu-gwajima.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAHCO Yabariki Ombi la Askofu Gwajima Kununua Treni ya Umeme"

Post a Comment