title : NGORONGORO: KITOVU CHA UTALII KINACHOWAVUTIA WATU MASHUHURI DUNIANI
kiungo : NGORONGORO: KITOVU CHA UTALII KINACHOWAVUTIA WATU MASHUHURI DUNIANI
NGORONGORO: KITOVU CHA UTALII KINACHOWAVUTIA WATU MASHUHURI DUNIANI
Na Jumia Travel Tanzania
Inaonekana mwaka 2017 umeanza vizuri katika sekta ya utalii nchini Tanzania kutokana na watu kadhaa mashuhuri kuzuru vivutio vyake. Sehemu ambazo zimeonekana kuwavutia watu wengi zaidi ni hifadhi ya mbuga ya Serengeti na bonde la Ngorongoro.Alianza mwigizaji maarufu wa filamu kutokea Hollywood nchini Marekani, Will Smith na mkewe Jada Pinkett-Smith. Mwanzoni mwa mwezi Machi walitua nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na kujivinjari katika mbuga ya Serengeti. Wakiwa huko familia ya Smith walikutana na msanii mwingine kutokea huko huko Marekani, lakini huyu yeye ni mwanamitindo na mrembo, Chanel Iman.
Haikupita muda mrefu sana tangu watu hao mashuhuri kuwepo nchini, kwani siku chache zilizopita aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Taifa la Israel, Bw. Ehud Barak naye alitembelea mbuga ya Serengeti pamoja na Ngorongoro.
Hii ni ishara nzuri kwa sekta ya utalii nchini ambapo kupitia watu hawa maarufu wengine nao wanapata taarifa na kuhamasika kutembelea pia.
Kusoma zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala NGORONGORO: KITOVU CHA UTALII KINACHOWAVUTIA WATU MASHUHURI DUNIANI
yaani makala yote NGORONGORO: KITOVU CHA UTALII KINACHOWAVUTIA WATU MASHUHURI DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NGORONGORO: KITOVU CHA UTALII KINACHOWAVUTIA WATU MASHUHURI DUNIANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/ngorongoro-kitovu-cha-utalii_15.html
0 Response to "NGORONGORO: KITOVU CHA UTALII KINACHOWAVUTIA WATU MASHUHURI DUNIANI"
Post a Comment