Mkutano mkuu wa ZFA wafanyika Pemba

Mkutano mkuu wa ZFA wafanyika Pemba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkutano mkuu wa ZFA wafanyika Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkutano mkuu wa ZFA wafanyika Pemba
kiungo : Mkutano mkuu wa ZFA wafanyika Pemba

soma pia


Mkutano mkuu wa ZFA wafanyika Pemba

RAIS wa chama cha Soka zanzibar (ZFA) Ravia Idarous Faina akifungua mkutano mkuu wa ZFA uliofanyika Kisiwani Pemba, hivi karibuni na kuwafukuza Maalim Massoud Attai na Hussein Ali Ahmada.
 WAJUMBE wa Mkutano mkuu wa ZFA Taifa wakiwa katika Picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo katika ukumbi wa uwanja wa michezo Gombani.
 VIONGOZI wa Umoja wa Vilabu Zanzibar wakiw akatika picha ya pamoja, mara baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa ZFA Taifa Uliofanyika Kisiwani Pemba.
 RAIS wa ZFA Ravia Idarous Faina akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa ZFA Taifa na Wilaya zake pamoja na viongozi wa umoja wa Vilabu.
VIONGOZI mbali mbali wa ZFA wakiwa katika picha za pamoja wakiongozwa na Rais wa Chama hicho Ravia Idarous Faina, mara baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa Chama hicho uliofanyika Kisiwani Pemba.

Picha na Abdi Suleiman, Pemba


Hivyo makala Mkutano mkuu wa ZFA wafanyika Pemba

yaani makala yote Mkutano mkuu wa ZFA wafanyika Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano mkuu wa ZFA wafanyika Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/mkutano-mkuu-wa-zfa-wafanyika-pemba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkutano mkuu wa ZFA wafanyika Pemba"

Post a Comment