title : Mhe. Balozi Masilingi awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Mexico
kiungo : Mhe. Balozi Masilingi awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Mexico
Mhe. Balozi Masilingi awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Mexico
Hafla hiyo ilishuhudiwa na Mhe. Luis Videgaray Caso, Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Mexico na mke wa Mhe. Balozi, Marystella Masilingi. Wakati wa kuwasilisha hati hizo, Mhe. Balozi alipata fursa ya kuongea na Mhe. Rais wa Mexico na kumpa salam kutoka kwa Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mhe.Enrique Peña Nieto, Rais wa Mexico akimpokea Mhe. Balozi Wilson M. K. Masilingi, Balozi mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Mexico.Katikati anaeshuhudia ni Mhe. Luis Videgaray Caso, Waziri wa Mambo ya Nje wa Mexico.
Mhe.Enrique Peña Nieto, Rais wa Mexico na Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi, Balozi mpya wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, nchini Mexico
Kutoka kushoto, Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi na Mhe. Enrique Peña Nieto, Rais wa Mexico; Mke wa Balozi Bi. Marystella E. Masilingi na Mhe. Luis Videgaray, Waziri wa Mambo ya Nje wa Mexico.
Mhe.Balozi Wilson M. K. Masilingi na Mke wake Bi. Marystella Masilingi (kulia) na Bi. Swahiba Mndeme, Mkuu wa Utawala wa Ubalozi (kushoto).
Hivyo makala Mhe. Balozi Masilingi awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Mexico
yaani makala yote Mhe. Balozi Masilingi awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Mexico Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mhe. Balozi Masilingi awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Mexico mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/mhe-balozi-masilingi-awasilisha-hati-za_14.html
0 Response to "Mhe. Balozi Masilingi awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Mexico"
Post a Comment