title : MESSI AINYONGA MADRID,AFUNIKA SHOO EL CLASICO
kiungo : MESSI AINYONGA MADRID,AFUNIKA SHOO EL CLASICO
MESSI AINYONGA MADRID,AFUNIKA SHOO EL CLASICO
Mshambuliaji wa Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi ndio ameonekana kuwa hatari zaidi kwa kumsababishia Sergio Ramos kupata kadi nyekundu ya 22 katika historia yake ya soka kutoka na kumchezea Lionel Messi faulo dakika ya 77, Lionel Messi ndio alikuwa hatari na kufanikiwa kufunga magoli mawili dakika ya 33 na 90 baada ya Ivan Rakitic kufunga goli la pili dakika ya 73.
Wakati magoli ya Real Madrid yalifungwa na Casemiro dakika ya 28 na James Rodriguez dakika ya 85 akitokea benchi, ushindi huo wa FC Barcelona unavunja rekodi yaa Real Madrid ambao walikuwa wamecheza mechi 22 bila kufungwa katika uwanja Santiago Bernabeu toka February 27 2016.
Hivyo makala MESSI AINYONGA MADRID,AFUNIKA SHOO EL CLASICO
yaani makala yote MESSI AINYONGA MADRID,AFUNIKA SHOO EL CLASICO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MESSI AINYONGA MADRID,AFUNIKA SHOO EL CLASICO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/messi-ainyonga-madridafunika-shoo-el.html
0 Response to "MESSI AINYONGA MADRID,AFUNIKA SHOO EL CLASICO"
Post a Comment