title : MBUNGE WA NZEGA MJINI HUSSEIN BASHE AKABIDHI GARI LA WAGONJWA, AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE
kiungo : MBUNGE WA NZEGA MJINI HUSSEIN BASHE AKABIDHI GARI LA WAGONJWA, AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE
MBUNGE WA NZEGA MJINI HUSSEIN BASHE AKABIDHI GARI LA WAGONJWA, AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (kushoto), akikabidhi gari la wagonjwa kwa Mwenyekiti wa Kata ya Nzega ndogo, William Jumanga kwa ajili ya Zahanati ya Zogolo iliyopo wilayani Nzega mkoani Tabora juzi.
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza na mgonjwa Agnes Nobert aliyekuwa amelazwa katika Zanati ya Zogolo baada ya kutembelea juzi wilayani Nzega mkoani Tabora juzi.
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kata ya Nzega ngodo kabla ya kuwakabidhi gari la wagonjwa juzi
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, akionyesha gari la wagonjwa alilolikabidhi kwa viongozi wa Kata ya Nzega ndogo kwa ajili ya Zahanati ya Zogolo iliyopo wilayani Nzega mkoani Tabora juzi.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala MBUNGE WA NZEGA MJINI HUSSEIN BASHE AKABIDHI GARI LA WAGONJWA, AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE
yaani makala yote MBUNGE WA NZEGA MJINI HUSSEIN BASHE AKABIDHI GARI LA WAGONJWA, AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE WA NZEGA MJINI HUSSEIN BASHE AKABIDHI GARI LA WAGONJWA, AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/mbunge-wa-nzega-mjini-hussein-bashe.html
0 Response to "MBUNGE WA NZEGA MJINI HUSSEIN BASHE AKABIDHI GARI LA WAGONJWA, AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE"
Post a Comment