Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Azindua Mradi wa Gari za Abiria Jimbo la Mfenesini Zilizotolewa na Mbunge Col. Mstaaf Masoud Khamis Kwa Wananchi wa Jimbo Hilo.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Azindua Mradi wa Gari za Abiria Jimbo la Mfenesini Zilizotolewa na Mbunge Col. Mstaaf Masoud Khamis Kwa Wananchi wa Jimbo Hilo. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Azindua Mradi wa Gari za Abiria Jimbo la Mfenesini Zilizotolewa na Mbunge Col. Mstaaf Masoud Khamis Kwa Wananchi wa Jimbo Hilo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Azindua Mradi wa Gari za Abiria Jimbo la Mfenesini Zilizotolewa na Mbunge Col. Mstaaf Masoud Khamis Kwa Wananchi wa Jimbo Hilo.
kiungo : Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Azindua Mradi wa Gari za Abiria Jimbo la Mfenesini Zilizotolewa na Mbunge Col. Mstaaf Masoud Khamis Kwa Wananchi wa Jimbo Hilo.

soma pia


Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Azindua Mradi wa Gari za Abiria Jimbo la Mfenesini Zilizotolewa na Mbunge Col. Mstaaf Masoud Khamis Kwa Wananchi wa Jimbo Hilo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wanaCCM wa Jimbo la Mfenesini wakati alipowasili katika  viwanja vya Z. Ocean Hoteli  iliyopo Kihinani Jimbo la Mfenesini Wilaya ya Magharibi leo katika sherehe za Uzinduzi wza Mradi wa Gari nane(8) za CCM  zilizotolewa na Mbunge wa jimbo hilo Col.Mstaafu Masoud Khamis,ikiwa ni ahadi ya  kwa Wananchi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Mbunge wa Jimbo la Mfenesini  Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis alipowasili  katika viwanja vya   Z. Ocean Hoteli  iliyopo Kihinani Jimbo la Mfenesini leo katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa Gari nane (8) za Chama cha Mapinduzi CCM ikiwa ni ahadi ya Mbunge wa jimbo hilo
Gari nane (8) aina ya Dyna  zilizonunuliwa na Mbunge wa Jimbo la Mfenesini  Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis ambazo leo amezikabidhi kwa Chama cha Mapinduzi CCM zitakazotumika na kutoa huduma katika Matawi ya Chama cha CCM katika jimbo hilo,ambazo zimegharimu jumla ya shilingi za kitanzania Millioni Mia moja na Tisiini na Mbili
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Gari Nane(8) ya CCM aina ya Dyna ikiwa ni ahadi ya Mbunge wa  CCM wa Jimbo la Mfenesini Col.Mstaafu Masoud Khamis (wa pili kulia) katika viwanja vya Z. Ocean  Hotel iliyopo kihinani Wilaya ya Magharibi Jimbo la Mfenesini leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akipokea kadi za Gari Nane (8) aina ya Dayna ambazo Rais amezindua Mradi huo wa CCM zitakazotumika  katika Matawi ya Chama Jimbo la Mfenesini,Gari hizo ini ahadi aliyoitoa  Mbunge Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis katika ukumbi wa Hoteli ya Z. Ocean iliyopo kihinani Jimbo la Mfenesini leo katika sherehe Jimboni humo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akitoa hutuba yake wakati  sherehe ya Uzinduzi wa Mradi wa Gari 8 za Chama cha Mapinduzi CCM zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Mfenesini Col.Mstaafu Maoud Khamis ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa kwa jimbo,hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Z.Ocean Kihinani Wialaya nya Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akitoa hutuba yake wakati  sherehe ya Uzinduzi wa Mradi wa Gari 8 za Chama cha Mapinduzi CCM zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Mfenesini Col.Mstaafu Maoud Khamis ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa kwa jimbo,hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Z.Ocean Kihinani Wialaya nya Magharibi Unguja, [Picha na Ikulu] 23/o4/2017.


Hivyo makala Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Azindua Mradi wa Gari za Abiria Jimbo la Mfenesini Zilizotolewa na Mbunge Col. Mstaaf Masoud Khamis Kwa Wananchi wa Jimbo Hilo.

yaani makala yote Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Azindua Mradi wa Gari za Abiria Jimbo la Mfenesini Zilizotolewa na Mbunge Col. Mstaaf Masoud Khamis Kwa Wananchi wa Jimbo Hilo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Azindua Mradi wa Gari za Abiria Jimbo la Mfenesini Zilizotolewa na Mbunge Col. Mstaaf Masoud Khamis Kwa Wananchi wa Jimbo Hilo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/makamu-mwenyekiti-wa-ccm-zanzibar-dk.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Azindua Mradi wa Gari za Abiria Jimbo la Mfenesini Zilizotolewa na Mbunge Col. Mstaaf Masoud Khamis Kwa Wananchi wa Jimbo Hilo."

Post a Comment