title : Maadhimisho ya miaka 53 ya muungano wa Tanzania uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma leo
kiungo : Maadhimisho ya miaka 53 ya muungano wa Tanzania uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma leo
Maadhimisho ya miaka 53 ya muungano wa Tanzania uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma leo
Vikosi vya Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ,pamoja na Wananchi mbali mbali wa Mji wa Dodoma wakiwa katika Uwanja wa Jamhuri,wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanzania zilizofanyika leo,Mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna Pombe Magufuli [Picha na Ikulu.] 26/04/2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna Pombe Magufuli akiwa katika Gari maalum na kuwapungia mkono Wananchi mbali mbali wa Mji wa Dodoma wakati wa sherehe za miaka 53 ya Muungano wa Tanzania zilizofanyika leo katika Uwanja wa Jamhuri,[Picha na Ikulu.]26/04/2017
Baadhi ya viongozi waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanzania katika Uwanja wa Uhuru zilizofanyika leo,ambapo Mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.] 26/04/2017Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein wakati akiwasili kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanzania katika Uwanja wa Uhuru zilizofanyika leo,ambapo Mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.] 26/04/2017
Baadhi ya vikosi vya ulinzi na usalama vilivyohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanzania katika Uwanja wa Uhuru zilizofanyika leo,ambapo Mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.] 26/04/2017
Hivyo makala Maadhimisho ya miaka 53 ya muungano wa Tanzania uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma leo
yaani makala yote Maadhimisho ya miaka 53 ya muungano wa Tanzania uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maadhimisho ya miaka 53 ya muungano wa Tanzania uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/maadhimisho-ya-miaka-53-ya-muungano-wa.html
0 Response to "Maadhimisho ya miaka 53 ya muungano wa Tanzania uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma leo"
Post a Comment