KUMBILAMOTO AWATAKA CUF KUIMARISHA UMOJA KATIKA KATA YA VINGUNGUTI

KUMBILAMOTO AWATAKA CUF KUIMARISHA UMOJA KATIKA KATA YA VINGUNGUTI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUMBILAMOTO AWATAKA CUF KUIMARISHA UMOJA KATIKA KATA YA VINGUNGUTI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUMBILAMOTO AWATAKA CUF KUIMARISHA UMOJA KATIKA KATA YA VINGUNGUTI
kiungo : KUMBILAMOTO AWATAKA CUF KUIMARISHA UMOJA KATIKA KATA YA VINGUNGUTI

soma pia


KUMBILAMOTO AWATAKA CUF KUIMARISHA UMOJA KATIKA KATA YA VINGUNGUTI

 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akiwaongoza Wanachama wa Chama cha Wananchi Cuf Buguruni kwenda kuweka bendera katika Matawi mawili ya Sarafina na Aluta, uwekaji huo wa bendera ni sehemu ya ujenzi wa Cuf  wa kuamsha wanachama kujitambua na kujenga umoja baina yao ili wasiyumbishwe.
 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala,Omary Kumbilamoto akipandisha bendera katika tawi la Aluta kuashiria ujenzi wa CUF Taasisi na sio mtu ili kurejesha umoja na kuinua hali ya chama
 Wananchama wa Chama cha Wananchi Cuf Vingunguti wakicheza mziki katika mkutano wa chma hicho uliofanyika katika kata ya Vingunguti
 Naibu Meya wa  Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto akikabidhi mfuko wa Saruji kwa Mwenyekiti wa tawi la Sarafina Zaid Mohamedi kwa ajili ya ujenzi wa kizmba cha tawi.
 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto akizungumza na Wanawake wa Chama cha Wananchi Cuf ambao walifika katika mkutano huo
Naibu meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akiwa katika meza kuu na baadhi ya Viongozi wa Chama cha wananchi Cuf katika mkutano wa kujenga Chama katika kata ya Vingunguti


Hivyo makala KUMBILAMOTO AWATAKA CUF KUIMARISHA UMOJA KATIKA KATA YA VINGUNGUTI

yaani makala yote KUMBILAMOTO AWATAKA CUF KUIMARISHA UMOJA KATIKA KATA YA VINGUNGUTI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUMBILAMOTO AWATAKA CUF KUIMARISHA UMOJA KATIKA KATA YA VINGUNGUTI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/kumbilamoto-awataka-cuf-kuimarisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUMBILAMOTO AWATAKA CUF KUIMARISHA UMOJA KATIKA KATA YA VINGUNGUTI"

Post a Comment