KUELEKEA KUIVAA AZAM FC NUSU FAINALI YA FA,SIMBA FULL KUJIAMINI NA ULINZI WAIMARISHWA KAMBI YA MORO

KUELEKEA KUIVAA AZAM FC NUSU FAINALI YA FA,SIMBA FULL KUJIAMINI NA ULINZI WAIMARISHWA KAMBI YA MORO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUELEKEA KUIVAA AZAM FC NUSU FAINALI YA FA,SIMBA FULL KUJIAMINI NA ULINZI WAIMARISHWA KAMBI YA MORO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUELEKEA KUIVAA AZAM FC NUSU FAINALI YA FA,SIMBA FULL KUJIAMINI NA ULINZI WAIMARISHWA KAMBI YA MORO
kiungo : KUELEKEA KUIVAA AZAM FC NUSU FAINALI YA FA,SIMBA FULL KUJIAMINI NA ULINZI WAIMARISHWA KAMBI YA MORO

soma pia


KUELEKEA KUIVAA AZAM FC NUSU FAINALI YA FA,SIMBA FULL KUJIAMINI NA ULINZI WAIMARISHWA KAMBI YA MORO


azam-vs-simba_nsvtm3ugt43k191l1ftwpdoo4
 
 
 
 
 
 
Kikosi cha Simba chini ya kocha wake, Joseph Omog kimeendelea na mazoezi mjini Morogoro kujiandaa na mechi yao ya keshokutwa ya Kombe la Shirikisho jijini Dar es Salaam.
 
Simba itakuwa mwenyeji wa Azam FC kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mechi inayotarajiwa kuwa ngumu.
 
Mratibu wa Simba, Abbas Ally ‘Gazza’, amesema wanaendelea na maandalizi vizuri na uongozi unatimiza majukumu yake kuhakikisha vijana wanafanya vizuri.
“Kila kitu kinakwenda vizuri, kila kitu kipo kamili na hakika vijana wanajituma kweli. Lengo ni kufanya vizuri katika mechi hiyo,” alisema.
 
“Kila mmoja wetu anajua ni mechi ngumu na muhimu, hivyo kikubwa ni kuendelea kujituma kwa juhudi zaidi.”


Hivyo makala KUELEKEA KUIVAA AZAM FC NUSU FAINALI YA FA,SIMBA FULL KUJIAMINI NA ULINZI WAIMARISHWA KAMBI YA MORO

yaani makala yote KUELEKEA KUIVAA AZAM FC NUSU FAINALI YA FA,SIMBA FULL KUJIAMINI NA ULINZI WAIMARISHWA KAMBI YA MORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUELEKEA KUIVAA AZAM FC NUSU FAINALI YA FA,SIMBA FULL KUJIAMINI NA ULINZI WAIMARISHWA KAMBI YA MORO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/kuelekea-kuivaa-azam-fc-nusu-fainali-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUELEKEA KUIVAA AZAM FC NUSU FAINALI YA FA,SIMBA FULL KUJIAMINI NA ULINZI WAIMARISHWA KAMBI YA MORO"

Post a Comment