title : Kingdom Heritage Presents Discover Your Potential
kiungo : Kingdom Heritage Presents Discover Your Potential
Kingdom Heritage Presents Discover Your Potential
Kampuni ya KINGDOM HERITAGE imeandaa event inaitwa "Discover Your Potential" ni event yenyewe wazungumzaji wahamasishaji katika mambo ya mipango,maendeleo,ndoto na maono na ujasiliamali.
Watakuwa wakizungumza mambo kadhaa yatakayotukumbusha kutambua uwezo wetu tulio nao kila mmoja wetu kwa ulivyo na mahala ulipo na namna ya kuutumia uwezo huo ili kufikia Malengo,Mipango,Ndoto na Maono kila mmoja.
Ni Jumapili wiki hii ya 30 April 2017 katika Kanisa la Living Water Centre Kawe Kuanzia saa 9:00 mchana.Usipange kukosa! ni Bureee!
Hivyo makala Kingdom Heritage Presents Discover Your Potential
yaani makala yote Kingdom Heritage Presents Discover Your Potential Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kingdom Heritage Presents Discover Your Potential mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/kingdom-heritage-presents-discover-your.html
0 Response to "Kingdom Heritage Presents Discover Your Potential"
Post a Comment