title : KATIBU WA BUNGE AONGOZA KIKAO CHA UONGOZI LEO MJINI DODOMA
kiungo : KATIBU WA BUNGE AONGOZA KIKAO CHA UONGOZI LEO MJINI DODOMA
KATIBU WA BUNGE AONGOZA KIKAO CHA UONGOZI LEO MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Bunge, Ndg. Chacha Nyakega (aliesimama) akifafanua jambo wakati wa kikao cha uongozi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Wajumbe wa kikao cha uongozi wakimsikiliza Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (katikati) akiongoza kikao hicho kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma
Hivyo makala KATIBU WA BUNGE AONGOZA KIKAO CHA UONGOZI LEO MJINI DODOMA
yaani makala yote KATIBU WA BUNGE AONGOZA KIKAO CHA UONGOZI LEO MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU WA BUNGE AONGOZA KIKAO CHA UONGOZI LEO MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/katibu-wa-bunge-aongoza-kikao-cha.html
0 Response to "KATIBU WA BUNGE AONGOZA KIKAO CHA UONGOZI LEO MJINI DODOMA"
Post a Comment