KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION CHAPATA UONGOZI MPYA

KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION CHAPATA UONGOZI MPYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION CHAPATA UONGOZI MPYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION CHAPATA UONGOZI MPYA
kiungo : KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION CHAPATA UONGOZI MPYA

soma pia


KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION CHAPATA UONGOZI MPYA

Wanachama wa chama cha  Kariakoo Family Development Foundation (KFDF) wamejipatia uongozi mpya baada ya kufanya mkutano mkuu wa uchaguzi siku ya Jumapili Aprili 23, 2017 katika ukumbi wa shule ya Msingi ya Jamhuri jijini Dar es salaam. Jumla ya wanachama hai na halali  41 walishirki katika uchaguzi huo, ambapo wanachama 23 walikuwepo ukumbini na wanachama 18 waishio nje ya nchi walipiga kura kwa njia ya mtandao. 
Bw. Alkarim Bhanji alishinda nafasi ya Uenyekiti akiwa mgombea pekee, wakati Bw. Mohamed Irapo alinyakua nafasi ya Makamu Mwenyekiti. Katibu Mkuu wa kipindi cha mpito Bw. Wahid Abdulghafoor aliweza kutetea kiti chake akiwa mgombea pekee. Nafasi ya Katibu Mkuu msaidizi imechukuliwa na Bw. Fabian Kimongw wakati Bw. Bakari Simba ametetea tena nafasi ya Mweka Hazina Msaidizi aliyokuwa akishika wakati wa kipindi cha mpito.
Katika uchaguzi huo uliokuwa umesimamiwa vyema na Katibu Mkuu wa klabu ya michezo ya Saigon,  Bw. Boi Juma,  jumla ya wajumbe watano kati ya sita wanaotakiwa kikatiba walichaguliwa. Hao ni Shaaban kessy, Abdallah Kizua, Idrissa Jumbe, ophia Muccadam na Salma King.
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa KFDF Bw. Wahid Abdulghafoor, nafasi mbili za Mweka Hazina na Mjumbe mmoja zilizo wazi baada ya kutotokea mgombea zitajazwa baadaye katika uchaguzi mdogo.



Msimamizi wa uchaguzi Bw. Boi Juma (mwenye bahasha mkononi) akipata picha ya pamoja na safu mpya ya uongozi wa KFDF pamoja na wanachama waliopo nchini baada ya kuhitimisha zoezi hilo siku ya Jumapili Aprili 23, 2017 katika ukumbi wa shule ya Msingi ya Jamhuri jijini Dar es salaam

Msimamizi wa uchaguzi Bw. Boi Juma (kati) akipata picha ya pamoja na safu mpya ya uongozi wa KFDF siku ya Jumapili Aprili 23, 2017 katika ukumbi wa shule ya Msingi ya Jamhuri jijini Dar es salaam.
Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA


Hivyo makala KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION CHAPATA UONGOZI MPYA

yaani makala yote KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION CHAPATA UONGOZI MPYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION CHAPATA UONGOZI MPYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/kariakoo-family-development-foundation.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION CHAPATA UONGOZI MPYA"

Post a Comment