DC MADUSA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WAANZISHA MKAKATI KABAMBE WA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

DC MADUSA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WAANZISHA MKAKATI KABAMBE WA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MADUSA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WAANZISHA MKAKATI KABAMBE WA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MADUSA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WAANZISHA MKAKATI KABAMBE WA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO
kiungo : DC MADUSA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WAANZISHA MKAKATI KABAMBE WA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

soma pia


DC MADUSA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WAANZISHA MKAKATI KABAMBE WA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Hapa Kazi Tu!! Ndivyo Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mhe. Bi. Rehema Madusa anafanya mara baada ya yeye pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya yake kuungana kwa pamoja na kuamua kuanza kuitembelea miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miradi ya miundombinu kama barabara na majengo mengine ya kiserikali na ya kijamii kama Ujenzi wa Zahanati, Kituo cha Afya na Ujenzi wa maabara kwa shule za Sekondari. 

Katika Ziara hiyo aliyoianza hivi karibuni,DC Madusa alibaini changamoto mbalimbali na kuahidi kuzitafutia ufumbuzi wa haraka ili kuwezesha gurudumu la maendeleo kusonga mbele. 

Aidha, DC Madusa akizungumza na mtandao huu amesema amejipanga kikamilifu kuhakikisha Shule za Sekondari za Wilaya hiyo zinakua za mfano kwenye mitihani kwa ngazi ya Mkoa, Kanda na Taifa kwa Ujumla, hivyo amewataka wananchi wake kumuunga mkono ikiwemo kuhakikisha nidhamu ya wanafunzi inatazamwa kwa jicho la karibu ili kuwasaidia walimu kufanya majukumu yao pasi na matatizo yeyote
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mhe. Rehema Madusa akitoa maelekezo  kwa mfadhili kuondoa bati zisizotakiwa (G. 30) na kupaua kwa bati zenye viwango vilivyopitishwa na serikali (G. 28) katika moja ya shule huko mjini Chunya mkoani Mbeya.Na Mr.Pengo wa Globu ya Jamii Mbeya.


Hivyo makala DC MADUSA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WAANZISHA MKAKATI KABAMBE WA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

yaani makala yote DC MADUSA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WAANZISHA MKAKATI KABAMBE WA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MADUSA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WAANZISHA MKAKATI KABAMBE WA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/dc-madusa-na-kamati-ya-ulinzi-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MADUSA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WAANZISHA MKAKATI KABAMBE WA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO"

Post a Comment