Balozi Asha Rose Migiro ampongeza Mwanariadha Alphonse Simbu

Balozi Asha Rose Migiro ampongeza Mwanariadha Alphonse Simbu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi Asha Rose Migiro ampongeza Mwanariadha Alphonse Simbu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi Asha Rose Migiro ampongeza Mwanariadha Alphonse Simbu
kiungo : Balozi Asha Rose Migiro ampongeza Mwanariadha Alphonse Simbu

soma pia


Balozi Asha Rose Migiro ampongeza Mwanariadha Alphonse Simbu

Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt. Asha Rose Migiro leo aliandaa hafla fupi katika makazi ya Balozi kumpongeza kijana mtanzania Alphonse Simbu Kwa kushika nafasi ya tano katika mbio za "London Marathon" zilizofanyika tarehe 23 Aprili 2017 jijijini London.

Katika salamu zake, Balozi Migiro alimpongeza Bw. Simbu kwa heshima aliyoipa Tanzania jijini London na Duniani  kupitia mbio za London. alimsihi atumie matokeo hayo kama hamasa ya  kufanya bidii zaidi kwa ajili ya mashindano ya mbio ndefu anayotarajiwa kushiriki baadae mwakani.

Simbu alimshukuru Balozi Migiro Kwa ushirikiano mkubwa wa kibalozi alioupata akiwa jijini London.Alimkabidhi Balozi Fulana ya kumbukumbu ya ushiriki wake kwenye mbio hizo.
Pichani Balozi Asha Rose Migiro akipokea Fulana hiyo.


Hivyo makala Balozi Asha Rose Migiro ampongeza Mwanariadha Alphonse Simbu

yaani makala yote Balozi Asha Rose Migiro ampongeza Mwanariadha Alphonse Simbu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Asha Rose Migiro ampongeza Mwanariadha Alphonse Simbu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/balozi-asha-rose-migiro-ampongeza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Balozi Asha Rose Migiro ampongeza Mwanariadha Alphonse Simbu"

Post a Comment