title : BABA WA SHOKA ANAYESTAHILI TUZO!
kiungo : BABA WA SHOKA ANAYESTAHILI TUZO!
BABA WA SHOKA ANAYESTAHILI TUZO!
Hivi majuzi Globu ya Jamii katika pitapita zake ilikutana na Bw. Yusuph Hamisi, baba wa mtoto wa miezi 5 aitwaye Ilham Yusuph akiwa amembeba mwanae katika Kituo cha Afya cha Nagaga alipokuwa amempeleka Kliniki, baada ya kumtaka mama yake apumzike ili kazi hiyo afanye yeye. Watoto wanaopelekwa na Baba zao katika kituo hicho wanapata kipaumbele katika huduma kwani hawakai foleni. Kituo cha Afya Nagaga kipo Kilometa 40 kutoka Mjini Masasi. Hakika wazazi wa kiume wa aina hii inabidi watafutiwe tuzo zao
Bw. Yusuph Hamisi, na mtoto wake wa miezi 5 aitwaye Ilham Yusuph wakiwa katika kliniki ya Kituo cha Afya cha Nagaga, Masasi.
Hivyo makala BABA WA SHOKA ANAYESTAHILI TUZO!
yaani makala yote BABA WA SHOKA ANAYESTAHILI TUZO! Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BABA WA SHOKA ANAYESTAHILI TUZO! mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/baba-wa-shoka-anayestahili-tuzo.html
0 Response to "BABA WA SHOKA ANAYESTAHILI TUZO!"
Post a Comment