title : AKIMBIZWA Hospitali Baada ya Kukaa ‘Airport’ Siku 10 Akimsubiri Mpenzi wake
kiungo : AKIMBIZWA Hospitali Baada ya Kukaa ‘Airport’ Siku 10 Akimsubiri Mpenzi wake
AKIMBIZWA Hospitali Baada ya Kukaa ‘Airport’ Siku 10 Akimsubiri Mpenzi wake
Mwanaume mmoja raia wa Uholanzi amejikuta akilazwa hospitalini baada ya kukaa katika Uwanja wa Ndege kwa siku 10 nchini China alipoenda kwa lengo la kukutana na mrembo aliyekuwa akiwasiliana naye mtandaoni, ambaye hakutokea.
Mwanaume huyo aliyetajwa kwa jina la Alexander Peter Cirk mwenye umri wa miaka 41, alisafiri kutoka Uholanzi na kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Changsha Huanghua kukutana na mrembo aliyemfahamu kwa jina la Zhang.
Hunan TV imeripoti kuwa Cirk alikataa kuondoka katika uwanja huo wa ndege, lakini hali yake ya afya ilizorota kwa kukosa maji ya kutosha na chakula, hivyo maafisa walilazimika kumkimbiza hospitalini.
Baada ya tukio hilo kuripotiwa kwenye vyombo vya habari, mrembo huyo alijitokeza na kufanya mahojiano na Hunan TV wakati mwanaume huyo alikuwa tayari amesharushwa nchini kwao.
Mrembo huyo alieleza kuwa alidhani mwanaume huyo anatania pale alipomwambia anaenda nchini China kwa ajili yake. Aliongeza kuwa wakati wote huo yeye alienda kufanya upasuaji (plastic surgery), hivyo simu yake ilikuwa imezima.
Hata hivyo, mwanaume huyo alipoulizwa wakati anarudishwa Uholanzi baada ya kutibiwa, alieleza kuwa anaamini atakaporudi nchini kwao wataendelea na uhusiano wao wa mapenzi mtandaoni.

“Siku moja alinitumia picha ya tiketi za ndege ghafla na nilidhani alikuwa anatania. Hakuwahi kuwasiliana na mimi tena baadae,” alisema mrembo huyo.
Hata hivyo, mwanaume huyo alipoulizwa wakati anarudishwa Uholanzi baada ya kutibiwa, alieleza kuwa anaamini atakaporudi nchini kwao wataendelea na uhusiano wao wa mapenzi mtandaoni.
Hivyo makala AKIMBIZWA Hospitali Baada ya Kukaa ‘Airport’ Siku 10 Akimsubiri Mpenzi wake
yaani makala yote AKIMBIZWA Hospitali Baada ya Kukaa ‘Airport’ Siku 10 Akimsubiri Mpenzi wake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AKIMBIZWA Hospitali Baada ya Kukaa ‘Airport’ Siku 10 Akimsubiri Mpenzi wake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/akimbizwa-hospitali-baada-ya-kukaa.html
0 Response to "AKIMBIZWA Hospitali Baada ya Kukaa ‘Airport’ Siku 10 Akimsubiri Mpenzi wake"
Post a Comment