WIZARA YA KILIMO KUKUZA UZALISHAJI MPUNGA MPAKA TANI MILIONI 4.5 IFIKAPO MWKA 2030…

WIZARA YA KILIMO KUKUZA UZALISHAJI MPUNGA MPAKA TANI MILIONI 4.5 IFIKAPO MWKA 2030… - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIZARA YA KILIMO KUKUZA UZALISHAJI MPUNGA MPAKA TANI MILIONI 4.5 IFIKAPO MWKA 2030…, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIZARA YA KILIMO KUKUZA UZALISHAJI MPUNGA MPAKA TANI MILIONI 4.5 IFIKAPO MWKA 2030…
kiungo : WIZARA YA KILIMO KUKUZA UZALISHAJI MPUNGA MPAKA TANI MILIONI 4.5 IFIKAPO MWKA 2030…

soma pia


WIZARA YA KILIMO KUKUZA UZALISHAJI MPUNGA MPAKA TANI MILIONI 4.5 IFIKAPO MWKA 2030…

Katibu mkuu wizara ya kilimo mhandisi mathew mtigumwe amekitaka kikosi kazi kinachojihusisha na uandaaji wa mpango mkakati wa kuendeleza uzalishaji wa zao la mpunga nchini kuhakikisha kinaanda rasimu itakayowezesha uzalishaji wa zao hilo kukuwa mara mbili zaidi kutoka tani milioni 2.2 hadi kufikia tani 4.5 ifikapo 2030.
Akizungumza na wataalam hao na wadau kutoka taasisi binafsi katika katibu mkuu mtigumwe amesema kufuatia wizara kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kuanzisha mpango mkakati wa kuendeleza zao la mpunga yaani national rice development strategy (nrsd) 1 mwaka 2008 kuwa na matokeo chanya ya kuongeza uzalishaji wa mpunga kutoka tani laki  899,000 hadi kufikia tani milioni 2.2 mwaka 2018 ambapo ili kukuza zaidi uzalishaji imeanzishwa nrds 2 itakayokwenda mpaka mwaka 2030 huku lengo likiwa ni kufikia tani za mpunga milioni 4.5…
"Mpango huu utatekelezwa kwa muda was miaka 12 kuanzia mwaka 2018 had I mwaka 2030 na tayari maandalizi Yake yalianza mwaka 2018 kwa kuanzia kuainishwa takwimu zinazohitajika" amesema mtigumwe.
Mwenyekiti wa kikosi kazi hicho  joseph lubiloh, amesema kuwa matarajio waliyonayo mara baada ya kukamilika kwa mpango wa awamu ya pili na hadi sasa kikosi hicho kimefanikisha kukusanya takwimu kamili za kufanikisha mpango huo huku wadau wengine wakifafanua mipango iliyopo katika kufanikisha mpango huo kuwa ni kushirikiana na serikali kukamilisha juhudi hizo.
 Katibu mkuu wizara ya kilimo mhandisi mathew mtigumwe akizungumza jambo na wanakikosi kazi pamoja na wadau mbalimbali.
 kikosi kazi kinachojihusisha na uandaaji wa mpango mkakati wa kuendeleza uzalishaji wa zao la mpunga nchini pamoja na Katibu mkuu wizara ya kilimo mhandisi mathew mtigumwe aliyekaa katikati
 wadau mbalimbali na kikosi kazi kinachojihusisha na uandaaji wa mpango mkakati wa kuendeleza uzalishaji wa zao la mpunga nchini


Hivyo makala WIZARA YA KILIMO KUKUZA UZALISHAJI MPUNGA MPAKA TANI MILIONI 4.5 IFIKAPO MWKA 2030…

yaani makala yote WIZARA YA KILIMO KUKUZA UZALISHAJI MPUNGA MPAKA TANI MILIONI 4.5 IFIKAPO MWKA 2030… Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA KILIMO KUKUZA UZALISHAJI MPUNGA MPAKA TANI MILIONI 4.5 IFIKAPO MWKA 2030… mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/wizara-ya-kilimo-kukuza-uzalishaji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WIZARA YA KILIMO KUKUZA UZALISHAJI MPUNGA MPAKA TANI MILIONI 4.5 IFIKAPO MWKA 2030…"

Post a Comment