WAZIRI BITEKO AWASIMAMISHA KAZI MAAFISA MADINI OFISI YA MADINI CHUNYA

WAZIRI BITEKO AWASIMAMISHA KAZI MAAFISA MADINI OFISI YA MADINI CHUNYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI BITEKO AWASIMAMISHA KAZI MAAFISA MADINI OFISI YA MADINI CHUNYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI BITEKO AWASIMAMISHA KAZI MAAFISA MADINI OFISI YA MADINI CHUNYA
kiungo : WAZIRI BITEKO AWASIMAMISHA KAZI MAAFISA MADINI OFISI YA MADINI CHUNYA

soma pia


WAZIRI BITEKO AWASIMAMISHA KAZI MAAFISA MADINI OFISI YA MADINI CHUNYA

Na Emanuel Madafa, Mbeya
WAZIRI wa Madini Dotto Biteko, ameagiza kusimamishwa kazi kwa wafanyakazi wote ofisi ya madini Wilayani Chunya na kuagiza  kuwafunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi na kwa tuhuma za kushirikiana na wachenjuaji wa madini.

Waziri Biteko ametoa kauli hiyo Wilayani Chunya Mkoani Mbeya , wakati akizungumza na wachimbaji wadogo wa madini katika ukumbi wa halmashauri ya Chunya.

Amesema, baada ya serikali kupitia Wizara husika kuhakikisha inadhibiti mapato yake, utafiti umebaini kwamba Wilaya ya Chunya inashika namba moja kwa wizi na utoroshaji wa madini aina ya dhahabu ikifuatiwa na Kahama.

“Baada ya kufanya utafiti tumeabaini kunawizi mkubwa na usio na aibu ambapo unakuta mtu amepata kilo 1 na gramu 1620 lakini serikali inapata  gramu 208, lakini kuna mahali mtu anapata kilo nne anawasilisha taarifa za gramu 155,sasa wizi namna hii tukiendelea kunyamaza nchi haiwezi kuwa na afya.,”alisema.

Kutokana na hali hiyo Waziri Biteko  amewataka watendaji na viongozi husika kubadilika na kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu.

“Ukiangalia sasa, wazalishaji wengi wanakimbilia Chunya na hii ni kwa sababu ya utaratibu wa eneo husika kushindwa kubaini wizi huu unaofanyika kupitia taarifa za kiwango cha uzalishaji ambacho ndicho kinachohalalisha mapato kwa serikali kupitia mrahaba wa Madini “Amesema Waziri Biteko

Awali, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila, alimueleza Biteko kuwa Wilaya ya Chunya inahitaji msaada hasa wa kielimu na utaalamu wa madini na kuomba watendaji wasafi wapatikane kwenye sekta hiyo.

Aidha Mkuu huyo wa Mkoa amesema kwa sasa wanataka kuzungumza na uongozi wa Mkoa  wa Songwe  ili kuunda nguvu ya pamoja itakayosaidia kuimalisha Ulinzi katika maeneo hayo ili kuepusha wizi wa Madini.
Waziri wa Madini Doto Biteko akisaini kitabu cha wageni Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kabla ya kuanza ziara Wilayani Chunya Mkoani Mbeya. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila.





Hivyo makala WAZIRI BITEKO AWASIMAMISHA KAZI MAAFISA MADINI OFISI YA MADINI CHUNYA

yaani makala yote WAZIRI BITEKO AWASIMAMISHA KAZI MAAFISA MADINI OFISI YA MADINI CHUNYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI BITEKO AWASIMAMISHA KAZI MAAFISA MADINI OFISI YA MADINI CHUNYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/waziri-biteko-awasimamisha-kazi-maafisa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI BITEKO AWASIMAMISHA KAZI MAAFISA MADINI OFISI YA MADINI CHUNYA"

Post a Comment