TUWATHAMINI NA KUWAPENDA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU KAMA WATOTO WENGINE

TUWATHAMINI NA KUWAPENDA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU KAMA WATOTO WENGINE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUWATHAMINI NA KUWAPENDA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU KAMA WATOTO WENGINE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUWATHAMINI NA KUWAPENDA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU KAMA WATOTO WENGINE
kiungo : TUWATHAMINI NA KUWAPENDA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU KAMA WATOTO WENGINE

soma pia


TUWATHAMINI NA KUWAPENDA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU KAMA WATOTO WENGINE

MEYA wa Temeke mkoani Dar es Salaam Abdallah Chaurembo amewataka wazazi kote nchini kuhakikisha wanawapatia huduma watoto walioko makambini na wale wa majumbani ili nao wajisikie kama vile wazazi wao wapo nao pamoja.

Rai hiyo ameitoa jana alipokuwa akizungumza na wazazi na wanafunzi wa shule ya secondari ya Joyland iliyoko kigamboni katika hafla ya kuchangia maendeleo ya watoto yatima katika shule hiyo. 

Alisema kuwa watoto yatima wamekuwa wakijisikia vibaya kutokana na wazazi walio wengi kuwatenga.

Hivyo Chaurembo amewataka wazazi kujitathimini juu ya jambo hilo kwani manyanyaso kwa yatima yamekuwa makubwa kutokana na sababu mbalimbali.

"Wazazi wezangu tujitolee ili kuwasaidia watoto yatima kote nchini ili nao wajisikie kama vile wazazi wao wapo hai hapa duniani, hata vitabu vya Mungu vinaimiza upendo kwa watoto hawa".alisema Chaurembo. 

Aidha meya huyo alifanikisha kupatikana kwa mamilioni ya fedha katika harambee hiyo ya kuwasaidia watoto yatima katika kituo hicho huku yeye akitoa milioni moja.

 Meya wa manispaa ya Temeke Mhe. Abdallah Chaurembo akizungumza na wazazi pamoja na wanafunzi katika shule ya sekondari ya Joyland iliyopo kigamboni,kwenye hafla ya kuchangia watoto yatima leo jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa shule ya sekondari ya Joyland,Fredrick Okuku akizungumza machache katika hafla ya kuchangia watoto yatima  leo jijini Dar es Salaam.
 Picha ya pamoja,

 Wasanii wa  mbalimbali wa Bongo Fleva wakitoa burudani.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)

Wasanii wa  mbalimbali wa Bongo Fleva wakitoa burudani.


Hivyo makala TUWATHAMINI NA KUWAPENDA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU KAMA WATOTO WENGINE

yaani makala yote TUWATHAMINI NA KUWAPENDA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU KAMA WATOTO WENGINE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUWATHAMINI NA KUWAPENDA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU KAMA WATOTO WENGINE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/tuwathamini-na-kuwapenda-watoto-waishio.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TUWATHAMINI NA KUWAPENDA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU KAMA WATOTO WENGINE"

Post a Comment