SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KANUNI ZA BUNGE JIJINI DODOMA

SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KANUNI ZA BUNGE JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KANUNI ZA BUNGE JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KANUNI ZA BUNGE JIJINI DODOMA
kiungo : SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KANUNI ZA BUNGE JIJINI DODOMA

soma pia


SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KANUNI ZA BUNGE JIJINI DODOMA



Spika wa Bunge, Job Ndugai (Katikati) aongoza Kikao cha Kamati ya Kanuni za Bunge kilicholenga Kupokea na Kujadili Waraka wa Spika kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya nyongeza ya Nane katika Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 kilichofanyika 01 Aprili, 2019 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
 Mbunge wa kaliua na Mjumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge, Magdalena Sakaya akizungumza kwenye Kikao cha Kupokea na Kujadili Waraka wa Spika kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya nyongeza ya Nane katika Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 kilichofanyika 01 Aprili, 2019 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
 Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa Kikao cha Kamati ya Kanuni za Bunge kilicholenga Kupokea na Kujadili Waraka wa Spika kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya nyongeza ya Nane katika Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 kilichofanyika 01 Aprili, 2019 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
 Wajumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge wakiwa kwenye Kikao cha Kupokea na Kujadili Waraka wa Spika kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya nyongeza ya Nane katika Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 kilichofanyika 01 Aprili, 2019 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KANUNI ZA BUNGE JIJINI DODOMA

yaani makala yote SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KANUNI ZA BUNGE JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KANUNI ZA BUNGE JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/spika-ndugai-aongoza-kikao-cha-kamati.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KANUNI ZA BUNGE JIJINI DODOMA"

Post a Comment