Mkuu wa Takwimu za bei atoa Faharisi za Bei kwa Zanzibar

Mkuu wa Takwimu za bei atoa Faharisi za Bei kwa Zanzibar - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkuu wa Takwimu za bei atoa Faharisi za Bei kwa Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkuu wa Takwimu za bei atoa Faharisi za Bei kwa Zanzibar
kiungo : Mkuu wa Takwimu za bei atoa Faharisi za Bei kwa Zanzibar

soma pia


Mkuu wa Takwimu za bei atoa Faharisi za Bei kwa Zanzibar

 Mkuu wa Takwimu za Bei katika Ofisi kuu ya Takwimu Zanzibar Khamis Abdul-rahman Msham akitoa maelezo ya Takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka asilimia 2.6 kwa mwaka uliomalizia February 2019 hadi asilimia 2.8 March 2019 hafla iliofanyika Ofisi kuu ya Takwimu Mazizini Zanzibar.
 Mhadhiri wa Uchumi katika Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Dk,Suleiman Msaraka akitoa ufafanuzi baadhi ya maswali yalioulizwa katika hafla ya utoaji wa Takwimu za Bei  Ofisi kuu ya Takwimu Mazizini Zanzibar. 
 Mkuu wa Idara ya Takwimu za Kiuchumi Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Abdul Ramadhan Abeid akijibu baadhi ya maswali yalioulizwa   katika hafla ya utoaji wa Takwimu za Bei  Ofisi kuu ya Takwimu Mazizini Zanzibar. 
Meneja Msaidizi Idara ya Uchumi Benki kuu Tawi la Zanzibar Deogratias Macha akijibu maswali yalioulizwa   katika hafla ya utoaji wa Takwimu za Bei  Ofisi kuu ya Takwimu Mazizini Zanzibar. 

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala Mkuu wa Takwimu za bei atoa Faharisi za Bei kwa Zanzibar

yaani makala yote Mkuu wa Takwimu za bei atoa Faharisi za Bei kwa Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkuu wa Takwimu za bei atoa Faharisi za Bei kwa Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/mkuu-wa-takwimu-za-bei-atoa-faharisi-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkuu wa Takwimu za bei atoa Faharisi za Bei kwa Zanzibar"

Post a Comment