Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Ashirilki Katika Mazishi ya Mwakilishi wa Zamani wa Jimbo la Mkwajuni Marehemu Mbarouk Wadi Mtando, Yaliofanyika Kijiji Kwao Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Ashirilki Katika Mazishi ya Mwakilishi wa Zamani wa Jimbo la Mkwajuni Marehemu Mbarouk Wadi Mtando, Yaliofanyika Kijiji Kwao Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Ashirilki Katika Mazishi ya Mwakilishi wa Zamani wa Jimbo la Mkwajuni Marehemu Mbarouk Wadi Mtando, Yaliofanyika Kijiji Kwao Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Ashirilki Katika Mazishi ya Mwakilishi wa Zamani wa Jimbo la Mkwajuni Marehemu Mbarouk Wadi Mtando, Yaliofanyika Kijiji Kwao Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.
kiungo : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Ashirilki Katika Mazishi ya Mwakilishi wa Zamani wa Jimbo la Mkwajuni Marehemu Mbarouk Wadi Mtando, Yaliofanyika Kijiji Kwao Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.

soma pia


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Ashirilki Katika Mazishi ya Mwakilishi wa Zamani wa Jimbo la Mkwajuni Marehemu Mbarouk Wadi Mtando, Yaliofanyika Kijiji Kwao Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.

Na.Othman Khamis OMPR.
Mamia ya Wananchi kutoka maeneo mbali mbali ya Kisiwa cha Unguja Mjini na Vijijini leo wamehudhuria mazishi ya Mwakilishi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Marehemu Mbarouk Wadi Mtando yaliyofanyika kijijini kwao Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Marehemu Mtando aliyewahi kuwa Mwakilishi wa lililokuwa Jimbo la Mkwajuni Wilaya ya Kaskazini “A”katika kipindi cha Mwaka 2005 hadi 2010 alifariki Dunia katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbiji Mjini Da es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Mazishi hayo yaliongozwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiambatana pamoja Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mh. Zubeir Ali Maulidi, Spika Mstaafu Mh. Pandu Ameir Kificho, Naibu Katibu wa CCM Zanzibar Dr. Juma Abdullah Saadala {Mabodi}, Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Viongozi Waandamizi wa Serikali pamoja na wale wa Vyama vya Kisiasa.
Marehemu Mbarouk Wadi Mtando ambae alikuwa akisumbuliwa na Maradhi ya Kisukari kwa kipindi kirefu amewahi kupatiwa matibabu Nchini India, akianzia tiba ya Maradhi yake katika Hospitali mbali mbali hapa Nchini.
Kama ilivyo kawaida ya mazingira ya Watoto wa Kitanzania Marehemu Mbarouk Wadi Mtando alipata mafunzo ya Elimu ya Dini na Dunia Kijiji kwao Mkwajuni na baadae kujishughulisha na mambo ya Kibiashara na hatimae masuala ya Kisiasa yaliyompelekea kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mkwajuni kwa kipindi kimoja.
Jamii itaendelea kumkumbuka Mwakilishi huyo wa zamani wa Jimbo la Mkwajuni kutokana na ukarimu wake kwa Jamii uliompelekea kuwa Maarufu kutokana na moyo wake wa kisaidia bila ya kujali Rangi, Umri, Dini au Itikadi za Kisiasa.
Marehemu Mbarouk Wadi Mtando ametangulia mbele ya Haki baada ya kuitwa na Mwenyezi Mungu Subuhanahu - Wataalah kama walivyoitwa waliomtangulia na kuacha Wamilia ya Watoto kadhaa.
Mwenyezi Muungu ailaze roho ya Marehemu Mbarouk Wadi Mtando mahali pema peponi. Amin.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akishiriki katika Sala ya Kuusalia Mwili wa Marehemu Mbarouk Wadi Mtando akijumuika na Viongozi wa Serikali, Siasa na Wananchi wakimsalia Mwakilishi wa zamani wa Jimbo la Mkwajuni Marehemu Mbarouk Wadi Mtando aliyefariki Hospitali ya Muhimbili Dar na kuzikwa Kijijini kwao Mkwajuni.






Hivyo makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Ashirilki Katika Mazishi ya Mwakilishi wa Zamani wa Jimbo la Mkwajuni Marehemu Mbarouk Wadi Mtando, Yaliofanyika Kijiji Kwao Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.

yaani makala yote Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Ashirilki Katika Mazishi ya Mwakilishi wa Zamani wa Jimbo la Mkwajuni Marehemu Mbarouk Wadi Mtando, Yaliofanyika Kijiji Kwao Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Ashirilki Katika Mazishi ya Mwakilishi wa Zamani wa Jimbo la Mkwajuni Marehemu Mbarouk Wadi Mtando, Yaliofanyika Kijiji Kwao Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/makamu-wa-pili-wa-rais-wa-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Ashirilki Katika Mazishi ya Mwakilishi wa Zamani wa Jimbo la Mkwajuni Marehemu Mbarouk Wadi Mtando, Yaliofanyika Kijiji Kwao Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo."

Post a Comment