Mafunzo maalum kwa wafugaji nyuki yafanyika kisiwani Pemba

Mafunzo maalum kwa wafugaji nyuki yafanyika kisiwani Pemba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mafunzo maalum kwa wafugaji nyuki yafanyika kisiwani Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mafunzo maalum kwa wafugaji nyuki yafanyika kisiwani Pemba
kiungo : Mafunzo maalum kwa wafugaji nyuki yafanyika kisiwani Pemba

soma pia


Mafunzo maalum kwa wafugaji nyuki yafanyika kisiwani Pemba

 BAADHI ya washiriki wa mafunzo ya ufugaji wa nyuki, ambao wataweza kuzalisha asali yenye viwango na itakayouzika ndani na nje ya Zanzibar, wakiwa katika mafunzo ya siku taatu yaliyoendeshwa na Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS).(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKURUGENZI mkuu wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Khatib Mwadini Khatib, akizungumzia mikakati ya ZBS katika kuwafanya wafugaji wa nyuki kuweza kuzalisha asali bora na yenye viwango Nchini, mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa kiwanda cha makonyo Wawi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MWENYEKITI wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Mfugaji wa nyuki Maarufu katika jimbo la Mgogoni, Shehe Hamad Matar akizungumza katika kikao cha wafugaji wa nyuki Kisiwani Pemba, kilichoandaliwa na Taasisi ya Viwango Zanzibar, juu ya uzalishaji wa asali bora na yenye Viwango.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akifungua mafunzo ya siku tatu kwa wafugaji wa nyuki Kisiwani Pemba, mafunzo yalioandaliwa na Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS), yaliyofanyika katika Kiwanda cha Makonyo Wawi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)



Hivyo makala Mafunzo maalum kwa wafugaji nyuki yafanyika kisiwani Pemba

yaani makala yote Mafunzo maalum kwa wafugaji nyuki yafanyika kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mafunzo maalum kwa wafugaji nyuki yafanyika kisiwani Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/mafunzo-maalum-kwa-wafugaji-nyuki.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mafunzo maalum kwa wafugaji nyuki yafanyika kisiwani Pemba"

Post a Comment