Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume lafanyika Zanzibar

Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume lafanyika Zanzibar - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume lafanyika Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume lafanyika Zanzibar
kiungo : Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume lafanyika Zanzibar

soma pia


Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume lafanyika Zanzibar

 Kaimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais ambae pia ni Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dk Sira Ubwa Mamboya akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni Rasmi katika Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-wakil Kikwajuni mjini Unguja.
 Makamu wa Piliwa Rais Baloz Seif Ali Idi akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-wakil Kikwajuni mjini Unguja.

 Baadhi ya Washiriki waliohudhuria Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-wakil Kikwajuni mjini Unguja.
Mtoa mada Ali Shaaban Juma akiwasilisha mada kuhusiana na Wasifu wa Sheikh Abed Aman Karume katika Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-wakil Kikwajuni mjini Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume lafanyika Zanzibar

yaani makala yote Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume lafanyika Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume lafanyika Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/kongamano-la-kumuenzi-rais-wa-kwanza-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume lafanyika Zanzibar"

Post a Comment