WATEJA WA MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR, ZAWA KULIPIA BILI KWA T-PESA

WATEJA WA MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR, ZAWA KULIPIA BILI KWA T-PESA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATEJA WA MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR, ZAWA KULIPIA BILI KWA T-PESA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATEJA WA MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR, ZAWA KULIPIA BILI KWA T-PESA
kiungo : WATEJA WA MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR, ZAWA KULIPIA BILI KWA T-PESA

soma pia


WATEJA WA MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR, ZAWA KULIPIA BILI KWA T-PESA


Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Salama Aboud Talib (katikati) akikata keki kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya mtandao wa Simu ya TTCL kulipia huduma za maji kupitia T-Pesa. Tukio hilo limefanyika sambamba na Maadhimisho ya kilele cha Wiki ya Maji, yenye kauli mbiu 'Hakuna Atakae Achwa'. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba (kulia) akimkabidhi zawadi ya simu ya mkononi Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Salama Aboud Talib (kushoto) kwenye hafla ya uzinduzi rasmi wa matumizi ya mtandao wa Simu ya TTCL kulipia huduma za maji Zanzibar kupitia T-Pesa.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba (kulia) akimwelekeza Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Salama Aboud Talib (kushoto) namna ya kufanya malipo ya bili ya maji Zanzibar kupitia T-Pesa.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba (kulia) akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi rasmi wa matumizi ya mtandao wa Simu ya TTCL kulipia huduma za maji kupitia T-Pesa.
Mkurugenzi wa Biashara na Huduma kwa Wateja wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA), Kazija Mussa Msheba (kushoto) akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi rasmi wa matumizi ya mtandao wa Simu ya TTCL kulipia huduma za ZAWA kupitia T-Pesa. Kwa makubaliano hayo sasa wateja wa ZAWA watakuwa wakilipa bili zao kupitia mtandao wa T-Pesa.
Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Salama Aboud Talib (katikati) akionesha simu ya mkononi aliyokabidhiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba (kuliye aliyeshika kipaza sauti) kama zawadi.
Baadhi ya washiriki kwenye hafla ya uzinduzi rasmi wa matumizi ya mtandao wa Simu ya TTCL kulipia huduma za Mamlaka ya Maji Zanzibar kupitia T-Pesa wakifuatilia matukio anuai. Kwa sasa wateja wa ZAWA watakuwa wakilipa bili zao kupitia T-PESA.
Baadhi ya wafanyakazi wa TTCL (kushoto) wakiwaelekeza washiriki namna ya kulipia huduma za ZAWA kupitia T-Pesa.
Wateja wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) wakipata maelekezo namna ya kulipia bili kwa T-PESA.
Picha ya pamoja na meza kuu mara baada ya hafla hiyo.


Hivyo makala WATEJA WA MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR, ZAWA KULIPIA BILI KWA T-PESA

yaani makala yote WATEJA WA MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR, ZAWA KULIPIA BILI KWA T-PESA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATEJA WA MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR, ZAWA KULIPIA BILI KWA T-PESA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/wateja-wa-mamlaka-ya-maji-zanzibar-zawa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WATEJA WA MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR, ZAWA KULIPIA BILI KWA T-PESA"

Post a Comment