STARTIMES WAJA NA BEBA BEBA KATIKA MSIMU WA HUU WA PASAKA

STARTIMES WAJA NA BEBA BEBA KATIKA MSIMU WA HUU WA PASAKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa STARTIMES WAJA NA BEBA BEBA KATIKA MSIMU WA HUU WA PASAKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : STARTIMES WAJA NA BEBA BEBA KATIKA MSIMU WA HUU WA PASAKA
kiungo : STARTIMES WAJA NA BEBA BEBA KATIKA MSIMU WA HUU WA PASAKA

soma pia


STARTIMES WAJA NA BEBA BEBA KATIKA MSIMU WA HUU WA PASAKA

KATIKA kuelekea kwenye msimu wa siku kuu ya Pasaka Kampuni ya Star Media (T) Ltd kupitia chapa yake ya StarTimes wametangaza Promosheni na Ofa kubwa katika msimu huu wa sikukuu ya pasaka ambapo wateja wake wataweza kununua vingamuzi vya antenna kwa bei ya punguzo sambamba na kushuka bei ya baadhi ya vifurushi.

Akizungumza na waandishi wa habari Meneja masoko wa Startimes David Malisa amesema kuwa, "Tumejiwekea utaratibu wa kuwapatia wateja wetu na wale wanaotamani kuwa wateja sababu  kufurahia zaidi kila sikukuu zinapofika, Msimu huu wa pasaka tunawaletea Promosheni ya Beba Beba na StarTimes na katika hili tumepunguza bei ya king'amuzi cha antenna kutoka shilingi 79,000 hadi kufikia awali shilingi 69,000 tu na mwezi mmoja bure kabisa kwa kifurushi cha UHURU" ameeleza Malisa.

Mbali na kupunguza bei ya kingamuzi cha Antenna StarTimes wamepunguza bei ya Kifurushi cha UHURU ambapo Malisa amesema kuwa,
"Pia tumepunguza bei ya kifurushi cha UHURU ambacho ni cha juu kabisa kwa watumiaji wa Antenna. Awali wateja walikuwa wakilipia shilingi 24,000 lakini kuanzia leo tarehe 15 Machi bei yake itakuwa Tsh 18,000 tu na Kifurushi hiki  ndicho chenye chaneli zote za burudani, filamu, tamthiliya na michezo bila kupitwa hata na kimoja" amesema.

Aidha ameeleza kuwa 
Katika kipindi chote cha Promosheni ya Beba Beba wateja wa StarTimes watafurahia maudhui ya kiwango cha juu ikiwemo ligi ya kandanda la Ulaya, Europa League ambayo bado inaendelea, tamthiliya za kuvutia kama Wildflower na Waaris.

Promosheni hiyo itaendelea hadi tarehe 31 ya mwezi Mei mwaka huu, huku wakiamini  wateja wao watafurahia bei ya punguzo ya kifurushi cha UHURU, pia wamewataka wateja wanaotamani kujiunga na familia ya StarTimes inayokua kila siku kuwa huu ni wakati sahihi kabisa kwao kwani gharama zimekuwa nafuu kwa ajili yao.
 Meneja masoko wa Startimes David Malisa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Promosheni na ofa za msimu wa siku kuu ya Pasaka ambapo wateja wake wataweza kununua vingamuzi vya antenna kwa bei ya punguzo sambamba na kushuka bei ya baadhi ya vifurushi.


Hivyo makala STARTIMES WAJA NA BEBA BEBA KATIKA MSIMU WA HUU WA PASAKA

yaani makala yote STARTIMES WAJA NA BEBA BEBA KATIKA MSIMU WA HUU WA PASAKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala STARTIMES WAJA NA BEBA BEBA KATIKA MSIMU WA HUU WA PASAKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/startimes-waja-na-beba-beba-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "STARTIMES WAJA NA BEBA BEBA KATIKA MSIMU WA HUU WA PASAKA"

Post a Comment