title : RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KUKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA ASKARI MAGEREZA UKONGA NA MAGOMENI KOTA JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KUKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA ASKARI MAGEREZA UKONGA NA MAGOMENI KOTA JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KUKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA ASKARI MAGEREZA UKONGA NA MAGOMENI KOTA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na baadhi ya wazee waliokuwa wakaazi wa nyumba za Magomeni Kota jijini Dar es salaam wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kuona maendeleo ya ujenzi wa nyumba za ghorofa alizoziwekea jiwe la msingi Aprili 15, 2017 ambapo mpaka sasa ujenzi wake umesimama kwa sababu ambazo hazikuweza kujulikana mara moja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wafanyakazi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za askari Magereza huko Ukonga jijini Dar es salaam alikofanya ziara ya kushtukiza leo Jumamosi Machi 16, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwangalia Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza Julius Ntembala akipima nguzo wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za askari Magereza huko Ukonga jijini Dar es salaam alipofanya ziara ya kushtukiza leo Jumamosi Machi 16, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za ghorofa za Magomeni Kota jijini Dar es salaam alizoziwekea jiwe la msingi Aprili 15, 2017 wakati alipofanya ziara ya kushtukiza leo Jumamosi Machi 16, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba za ghorofa za Magomeni Kota jijini Dar es salaam alizoziwekea mnamo Aprili 15, 2017 ambapo mpaka sasa ujenzi wake umesimama alipofanya ziara ya kushtukiza leo Jumamosi Machi 16, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za askari Magereza huko Ukonga jijini Dar es salaam alikofanya ziara ya kushtukiza leo Jumamosi Machi 16, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wana familia ya moja ya nyumba za askari Magereza huko Ukonga jijini Dar es salaam alikotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za askari hao alipofanya ziara ya kushtukiza leo Jumamosi Machi 16, 2019
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KUKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA ASKARI MAGEREZA UKONGA NA MAGOMENI KOTA JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KUKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA ASKARI MAGEREZA UKONGA NA MAGOMENI KOTA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KUKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA ASKARI MAGEREZA UKONGA NA MAGOMENI KOTA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/rais-dkt-magufuli-afanya-ziara-ya.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KUKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA ASKARI MAGEREZA UKONGA NA MAGOMENI KOTA JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment