title : NYONI KUONGEZA NGUVU KIKOSI CHA SIMBA KUIMALIZA AS VITA TAIFA.
kiungo : NYONI KUONGEZA NGUVU KIKOSI CHA SIMBA KUIMALIZA AS VITA TAIFA.
NYONI KUONGEZA NGUVU KIKOSI CHA SIMBA KUIMALIZA AS VITA TAIFA.
Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema beki kiraka wa Simba, Erasto Nyoni atakuwepo kwenye mchezo wa kesho lakini atamkosa Juuko Murshid.
Nyoni ameanza kufanya mazoezi baada ya kupona jeraha la kwenye mguu alilopata mwezi Januari kwenye michuano ya Mapinduzi.
Aussems amesema Nyoni alifanya mazoezi tangu wiki iliyopita ingawa hakukusafiri kwenda Algeria ila bado ana nafasi ya kuwa ndani ya kikosi chake kesho.
"Nyoni tulianza naye mazoezi hivyo imani yetu tutakuwa naye kwenye kikosi cha kesho kitakachowavaa AS Vita.
"Kuhusu Juuko bado anahitaji mapumziko mpaka Jumatatu kwa hiyo kwa uhakika Juuko hatakuwepo katika timu," amesema Aussems.
Hivyo makala NYONI KUONGEZA NGUVU KIKOSI CHA SIMBA KUIMALIZA AS VITA TAIFA.
yaani makala yote NYONI KUONGEZA NGUVU KIKOSI CHA SIMBA KUIMALIZA AS VITA TAIFA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NYONI KUONGEZA NGUVU KIKOSI CHA SIMBA KUIMALIZA AS VITA TAIFA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/nyoni-kuongeza-nguvu-kikosi-cha-simba.html
0 Response to "NYONI KUONGEZA NGUVU KIKOSI CHA SIMBA KUIMALIZA AS VITA TAIFA."
Post a Comment