title : MKOA WA KATAVI WAZINDUA MPANGO WA KUTANGAZA UTALII WAKE
kiungo : MKOA WA KATAVI WAZINDUA MPANGO WA KUTANGAZA UTALII WAKE
MKOA WA KATAVI WAZINDUA MPANGO WA KUTANGAZA UTALII WAKE
Mkuu wa mkoa wa Katavi Amos Makala katikati akiwa na Mkuu wa wilaya ya Mlele Rachel Kasanda, Dk Theresia Olemako kutoka taasisi ya Jane Godall, , akifuatiwa na Mkuu wa hifadhi ya Katavi Stephano Msumi na kaimu katibu tawala mkoa wa Katavi Awaryiwa Nnko pamoja na watendajiwengine wa mkoa huo.
Mkuu wa mkoa wa Katavi Amos Makala akisoma moja ya bango linaloielezea mbuga ya wanyama ya Katavi.
Baadhi ya picha zikionyesha baadhi ya wanyama wanaopatikana katika mbuga ya wanyama wa Katavi mkoani Katavi.
Akizungumza Mara Baada Ya Kuzindua Rasimu Hiyo Bwana Makalla Amesema Mpango Huo Utawezesha Kukuza Uchumi Wa Mkoa Wa Katavi
Aidha Mkuu Huyo Wa Mkoa Wa Katavi Amewataka Wananchi Kuacha Tabia Ya Kuharibu Mazingira Ili Kuwa Na Maeneo Ya Wanyama Pori Sanjari Na Kuwataka Waandishi Wa Habari Kutumia Taaluma Yao Katika Kuutangaza Utalii Katika Mkoa Wa Katavi Kwani Ni Mkoa Wenye Vivutio Vya Kipekee
Awali Akitoa Taarifa Ya Hifadhi Ya Taifa Ya Katavi Mkuu Wa Hifadhi Hiyo Bwana Stephano Msumi Amesema Wamefanikiwa Kudhibiti Ujangili Wa Tembo Kwa Asilimia Mia Moja Ambapo Kwa Mwaka Uliopita Hakuna Tembo Hata Mmoja Aliyeuwawa
Katika Uzinduzi Huo Kaimu Mtendaji Mkuu Wa Taasisi Ya Jane Goodall Dk. Theresia Olemako Alipata Nafasi Ya Kuwasilisha Mada Juu Ya Wanyama Aina Ya Sokwe Mtu Na Kusema Mwaka 1900 Kulikuwa Na Sokwe Mtu Zaidi Ya Milioni Mbili Lakini Sasa Wamebaki Sokwe Laki Tatu Tu
Mkuu Huyo Wa Mkoa Aliambatana Na Baadhi Ya Wajumbe Wa Kamati Ya Ulinzi Na Usalama Pamoja Na Watendaji Mbalimbali Ambao Walipata Fursa Ya Kutembelea Hifadhi Ya Katavi; Ambapo Walipata Nafasi Ya Kujifunza Namna Mzimu Wa Katabi Unavyoaminiwa Na Watu Wa Jamii Ya Wabende Na Wapimbwe
Hivyo makala MKOA WA KATAVI WAZINDUA MPANGO WA KUTANGAZA UTALII WAKE
yaani makala yote MKOA WA KATAVI WAZINDUA MPANGO WA KUTANGAZA UTALII WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKOA WA KATAVI WAZINDUA MPANGO WA KUTANGAZA UTALII WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/mkoa-wa-katavi-wazindua-mpango-wa.html
0 Response to "MKOA WA KATAVI WAZINDUA MPANGO WA KUTANGAZA UTALII WAKE"
Post a Comment