title : MBOWE AMPUUZA PROFESA LIPUMBA BAADA YA ....
kiungo : MBOWE AMPUUZA PROFESA LIPUMBA BAADA YA ....
MBOWE AMPUUZA PROFESA LIPUMBA BAADA YA ....
Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Freeman Mbowe amesema Chama cha Wananchi(CUF)kinapita katika wakati mgumu kutokana na mgogoro unaondelea kufukuta ndani ya Chama hicho.
Mbowe amesema hayo leo Machi 15,2019 jijini Dar es Salaam wakati anazungumza na waandishi wa habari ambapo amedai mgogoro wa CUF umetengeneza kwa lengo la kuudhoofisha upinzani.
"CUF inapita kwenye mgogoro mkubwa na kwa bahati mbaya ni wa kutengenezwa kwa lengo la kuudhofisha upinzani.Sitaki kuwa Msemaji wa CUF ila nawashauri wamalize kile ambacho watakifanya kwa usalama,"amesema Mbowe.
Ameongeza wakati mgogoro huo unaendelea, amemsikia mara kadhaa Profesa Ibrahim Lipumba namna ambavyo anawalaumu Chadema na uamuzi wake wa kujiondoa Ukawa.
"Profesa Lipumba ni mtu ambaye nimefanya naye nyingi, naheshimu na nitaendelea kumheshimu.Kwa sasa nimuache maana ni mtu mzima na acha afanye anachoendelea.
"Kuna siku Dunia itajua na hasa muda ukifika utaongea.Naamini haki ya wananchi wa Zanzibar kupiria maalim Seif Sharif Hamadi na Chama chake itapatikana tu.Nimuombee mema Maalim Seif na watambue haya ni mapito tu na watayapita, "amesema.
Prof Lipumba
Hivyo makala MBOWE AMPUUZA PROFESA LIPUMBA BAADA YA ....
yaani makala yote MBOWE AMPUUZA PROFESA LIPUMBA BAADA YA .... Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBOWE AMPUUZA PROFESA LIPUMBA BAADA YA .... mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/mbowe-ampuuza-profesa-lipumba-baada-ya.html
0 Response to "MBOWE AMPUUZA PROFESA LIPUMBA BAADA YA ...."
Post a Comment