title : Madaktari bingwa waendesha kambi maalum ya matibabu ya moyo JKCI
kiungo : Madaktari bingwa waendesha kambi maalum ya matibabu ya moyo JKCI
Madaktari bingwa waendesha kambi maalum ya matibabu ya moyo JKCI

Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Godwin Sharau kwa kushirikiana na madaktari kutoka Shirika la Open Heart International (OHI) la nchini Australia wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kuziba tundu kwenye moyo wakati wa kambi maalum ya matibabu ya moyo ya siku saba inayoendelea katika taasisi hiyo. Jumla ya watoto tisa wamefinyiwa upasuaji wa kuziba matundu na hali zoa zinaendelea vizuri
Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Evarist Nyawawa kwa kushirikiana na madaktari wa Shirika la Open Heart International (0HI) la nchini Australia wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kubadilisha valvu wakati wa kambi maalum ya matibabu inayoendelea katika taasisi hiyo. Jumla ya watu wazima watano wenye matatizo ya moyo wamefanyiwa upasuaji katika kambi hiyo ya siku saba na hali zao zinaendelea vizuri.
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Lilian Peter kwa kushirikina na wenzake wa Shirika la Open Heart International (OHI) la nchini Australia wakimuhudumia mtoto aliyelazwa katika chumba cha wagonjwa waliopo katika uangalizi maalum (ICU) wakati wa kambi maalum ya matibabu ya moyo ya siku saba inayofanywa katika taasisi hiyo. Jumla ya watoto tisa wamefanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri.
Picha na: Genofeva Matemu – JKCI
Hivyo makala Madaktari bingwa waendesha kambi maalum ya matibabu ya moyo JKCI
yaani makala yote Madaktari bingwa waendesha kambi maalum ya matibabu ya moyo JKCI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Madaktari bingwa waendesha kambi maalum ya matibabu ya moyo JKCI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/madaktari-bingwa-waendesha-kambi-maalum.html
0 Response to "Madaktari bingwa waendesha kambi maalum ya matibabu ya moyo JKCI"
Post a Comment