title : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Atembelea Kambi ya JKT ya Bulombora Mkoani Kigoma.
kiungo : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Atembelea Kambi ya JKT ya Bulombora Mkoani Kigoma.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Atembelea Kambi ya JKT ya Bulombora Mkoani Kigoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali , Martin Busungu wakati alipowasili kwenye Kambi ya JKT ya Bulombora wilayani Uvinza, kuhamasisha ufufuaji wa zao la michikichi, Februari 17, 2019. Wapili kulia ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kushoto) wakitazama sabuni zinazotengenezwa na Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa katika Kambi ya Bulombora wilayani Uvinza wakati alipotembelea kambi hiyo kuhamasisha ufufuaji wa zao la michikichi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasha trekta ikiwa ni ishara ya kuzindua trekta hilo katika Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa ya Bulombora wilayani Uvinza, Februri 17, 2019. Mheshimiwa Majaliwa yuko mkoani Kigoma kwa ziara yenye lengo la kuhamasisha ufufuaji wa zao la michikichi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipanda mchikichi ikiwa ni ishara ya kuzindua upanuzi wa shamba la zao hilo katika Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa ya Bulombora wilayani Uvinza, Februari 17, 2019. Mheshimiwa Majaliwa yuko mkoani Kigoma kwa ziara yenye lengo la kuhamasisha ufufuaji wa zao la michikichi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipanda mchikichi ikiwa ni ishara ya kuzindua upanuzi wa shamba la zao hilo katika Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa ya Bulombora wilayani Uvinza, Februari 17, 2019. Mheshimiwa Majaliwa yuko mkoani Kigoma kwa ziara yenye lengo la kuhamasisha ufufuaji wa zao la michikichi.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Atembelea Kambi ya JKT ya Bulombora Mkoani Kigoma.
yaani makala yote Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Atembelea Kambi ya JKT ya Bulombora Mkoani Kigoma. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Atembelea Kambi ya JKT ya Bulombora Mkoani Kigoma. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/waziri-mkuu-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_98.html
0 Response to "Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Atembelea Kambi ya JKT ya Bulombora Mkoani Kigoma."
Post a Comment