title : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo.
kiungo : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako wakati alipozungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo, Februari 19, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo, Februari 19, 2019. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo, Februari 19, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo.
yaani makala yote Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/waziri-mkuu-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_19.html
0 Response to "Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo."
Post a Comment