title : Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Italia Nchini Tanzania
kiungo : Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Italia Nchini Tanzania
Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Italia Nchini Tanzania
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania Mhe. Roberto Mengoni wakati alipomtembelea Waziri Mwakyembe katika ofisi ndogo ya wizara hiyo iliyoko jijini Dar es salaam na kuzungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Italia na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mazungumzo hayo yamefanyika leo 19 Februari 2019.
Balozi wa Italia nchini Tanzania Mhe. Roberto Mengoni (kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe wakati alipomtembelea Waziri Mwakyembe katika ofisi ndogo ya wizara hiyo iliyoko jijini Dar es salaam na kuzungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Italia na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mazungumzo hayo yamefanyika leo 19 Februari 2019.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akifafanua jambo kwa Balozi wa Italia nchini Tanzania Mhe. Roberto Mengoni wakati alipomtembelea Waziri Mwakyembe katika ofisi ndogo ya wizara hiyo iliyoko jijini Dar es salaam na kuzungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Italia na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mazungumzo hayo yamefanyika leo 19 Februari 2019.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo toka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akifafanua jambo kwa Balozi wa Italia nchini Tanzania Mhe. Roberto Mengoni (hayupo pichani) wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri Mwakyembe katika ofisi ndogo ya wizara hiyo iliyoko jijini Dar es salaam na kuzungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Italia na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mazungumzo hayo yamefanyika leo 19 Februari 2019.
Balozi wa Italia nchini Tanzania Mhe. Roberto Mengoni (kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe wakati alipomtembelea Waziri Mwakyembe katika ofisi ndogo ya wizara hiyo iliyoko jijini Dar es salaam na kuzungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Italia na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mazungumzo hayo yamefanyika leo 19 Februari 2019.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Italia nchini Tanzania Mhe. Roberto Mengoni pamoja na watumishi wa wizara.
Picha na WHUSM – Dar es Salaam.
Hivyo makala Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Italia Nchini Tanzania
yaani makala yote Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Italia Nchini Tanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Italia Nchini Tanzania mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/waziri-dkt-mwakyembe-akutana-na-kufanya_19.html
0 Response to "Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Italia Nchini Tanzania"
Post a Comment