title : Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Hispania Nchini Tanzania
kiungo : Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Hispania Nchini Tanzania
Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Hispania Nchini Tanzania
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Hispania nchini Tanzania Francisca Pedros wakati alipomtembelea Waziri Mwakyembe katika ofisi ndogo ya wizara hiyo iliyoko jijini Dar es salaam na kuzungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Hispania na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mazungumzo hayo yamefanyika leo 18 Februari 2019.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (kulia) akimuonesha Balozi wa Hispania nchini Tanzania Francisca Pedros maendeleo ya ukarabati wa uwanja wa Taifa kuelekea mashindano ya AFCON chini ya miaka 17 wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri Mwakyembe katika ofisi ndogo ya wizara hiyo iliyoko jijini Dar es salaam na kuzungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Hispania na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mazungumzo hayo yamefanyika leo 18 Februari 2019.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Hispania nchini Tanzania Francisca Pedros wakati alipomtembelea Waziri Mwakyembe katika ofisi ndogo ya wizara hiyo iliyoko jijini Dar es salaam na kuzungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Hispania na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mazungumzo hayo yamefanyika leo 18 Februari 2019.
Picha na WHUSM – Dar es Salaam
Hivyo makala Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Hispania Nchini Tanzania
yaani makala yote Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Hispania Nchini Tanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Hispania Nchini Tanzania mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/waziri-dkt-mwakyembe-akutana-na-kufanya.html
0 Response to "Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Hispania Nchini Tanzania"
Post a Comment