TFF YATANGAZA KAMATI YA SAIDIA TAIFA STARS ISHINDE

TFF YATANGAZA KAMATI YA SAIDIA TAIFA STARS ISHINDE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TFF YATANGAZA KAMATI YA SAIDIA TAIFA STARS ISHINDE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TFF YATANGAZA KAMATI YA SAIDIA TAIFA STARS ISHINDE
kiungo : TFF YATANGAZA KAMATI YA SAIDIA TAIFA STARS ISHINDE

soma pia


TFF YATANGAZA KAMATI YA SAIDIA TAIFA STARS ISHINDE

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) limetangaza kamati ya saidia Taifa Stars ishinde yenye majina ya watu 14. Kamati hiyo inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda imetangazwa leo na TFF ikiwa na lengo la kusaidia timu ya Taifa ishinde kwenye mchezo wake wa mwisho mwezi Machi mwaka huu.

Taifa Stars inatarajia kucheza mchezo wake wa mwisho wa kufuzu Fainali za mataifa Afrika (AFCON) nchini Misri dhidi ya Uganda ‘The cranes’. Katika kamati hiyo, Makonda atasaidiwa na wadau wa soka tofauti akiwemo Abdalla Bin Kleb, Salum Abdalla, Faraj Asas, Mohamed Dewji, Farouk Barhoza, Mohamed Nassor na Patrick Kahemele.

Wengine ni Teddy Mapunda, Philimon Ntaihaja, Farid Nahid, Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro, Ofisa habari wa Simba Haji Manara na Mhandisi Hersi Said ambaye atakuwa katibu wa Kamati hiyo. Taifa Stars inatakiwa ishinde mchezo wake wa mwisho dhidi ya Uganda ili ifanikiwa kuingia kwenye hatua ya Fainali , 

Timu hiyo ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi hilo, ikifikisha pointi tano baada ya kucheza mechi nne, ikifungwa mbili na sare mbili.


Hivyo makala TFF YATANGAZA KAMATI YA SAIDIA TAIFA STARS ISHINDE

yaani makala yote TFF YATANGAZA KAMATI YA SAIDIA TAIFA STARS ISHINDE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TFF YATANGAZA KAMATI YA SAIDIA TAIFA STARS ISHINDE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/tff-yatangaza-kamati-ya-saidia-taifa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TFF YATANGAZA KAMATI YA SAIDIA TAIFA STARS ISHINDE"

Post a Comment