title : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).Bi. Thuwaiba Kisasi , akiwa na Ujumbe wa Viongozi wa (UWT) Afisi Kuu ya Zanzibar,walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo.7-2-2019
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo 7-2-2019.ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa (UWT.)Bi. Thuwaiba Editon Kisasi.(Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/rais-wa-zanzibar-dk-shein-azungumza-na.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR"
Post a Comment