Rais wa Sudan Omar al-Bashir yatangaza hali ya hatari na kuwafuta magavana wa majimbo

Rais wa Sudan Omar al-Bashir yatangaza hali ya hatari na kuwafuta magavana wa majimbo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Sudan Omar al-Bashir yatangaza hali ya hatari na kuwafuta magavana wa majimbo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Sudan Omar al-Bashir yatangaza hali ya hatari na kuwafuta magavana wa majimbo
kiungo : Rais wa Sudan Omar al-Bashir yatangaza hali ya hatari na kuwafuta magavana wa majimbo

soma pia


Rais wa Sudan Omar al-Bashir yatangaza hali ya hatari na kuwafuta magavana wa majimbo

Rais wa Sudan Omar al-Bashir ametangaza hali ya hatari nchini humu na kufutilia mbali utawala wa majimbo na uongozi wake.

Katika hotuba yake kwa taifa rais Bashir alisema kuwa maandamano yanayoshuhudiwa nchini yanalenga kuvuruga amani na kuhujumu utawala wake.

"Natangaza hali ya hatari kwote nchini kwa mwaka mmoja."

"Natangaza kuvunjiliwa mbali kwa utawala wa majimbo katika ngazi zote hadi za mikoa."

Waandamanaji walimiminika katika mji wa Omdurman baada ya tangazo hilo, lakini waliyoshuhudia wanasema maandamano hayo yalizimwa na polisi kwa kutumia bomu ya machozi.

Saa kadhaa baada ya tangazo hilo rais Bashir amewateua wakuu wa vikosi vya usalama kuchukua nafasi ya magavana waliyofutwa kazi.

Katika hotuba yake kwa taifa bwana Bashir ameliomba bunge kuahirisha mchakato wa marekebisho ya katiba ambao ungemruhusu kugombe muhula mwingine madarakani.

Bashir pia alisema kuwa maandamano yanayoshuhudiwa nchini yanalenga kuvuruga amani na kuhujumu utawala wake.

Ripoti za awali kutoka shirika la kitaifa la ujasusi (NISS) ziliashiria kuwa Bashir huenda akajiuzulu.



Hivyo makala Rais wa Sudan Omar al-Bashir yatangaza hali ya hatari na kuwafuta magavana wa majimbo

yaani makala yote Rais wa Sudan Omar al-Bashir yatangaza hali ya hatari na kuwafuta magavana wa majimbo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Sudan Omar al-Bashir yatangaza hali ya hatari na kuwafuta magavana wa majimbo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/rais-wa-sudan-omar-al-bashir-yatangaza.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Rais wa Sudan Omar al-Bashir yatangaza hali ya hatari na kuwafuta magavana wa majimbo"

Post a Comment