Naibu Waziri Nditiye afanya ziara Vodacom

Naibu Waziri Nditiye afanya ziara Vodacom - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Naibu Waziri Nditiye afanya ziara Vodacom, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Naibu Waziri Nditiye afanya ziara Vodacom
kiungo : Naibu Waziri Nditiye afanya ziara Vodacom

soma pia


Naibu Waziri Nditiye afanya ziara Vodacom


  Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (wa pili kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Hisham Hendi (kushoto), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom, Rosalynn Mworia akizungumza juu ya utendaji kazi wa kidijitali wa kampuni hiyo  mapema leo kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote, Mhandisi Peter Ulanga.
 Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (wa pili kushoto) akisikiliza kuhusu utendaji wa kampuni ya Vodacom Tanzania PLC kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo, Hisham Hendi (wa pili kulia) alipotembelea makao makuu ya kampuni ya Vodacom mapema leo na kujionea namna ambavyo kampuni hiyo inafanya kazi zake kidijitali. Kushoto ni Naibu Katibu mkuu wa Wizara hiyo, Dr Jim Yonaz na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote, Mhandisi Peter Ulanga.
 Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (Katikati) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (wa kwanza kushoto) wakisikiliza shughuli zinazofanywa na kitengo cha Ufanisi wa mtandao kutoka kwa Mhandisi Pendo Boshe wa kitengo hicho wakati wa ziara ya naibu waziri katika ofisi za Vodacom Tanzania mapema leo, ambapo naibu waziri alijionea namna ambavyo kampuni hiyo inafanya kazi zake kidijitali.


Hivyo makala Naibu Waziri Nditiye afanya ziara Vodacom

yaani makala yote Naibu Waziri Nditiye afanya ziara Vodacom Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Waziri Nditiye afanya ziara Vodacom mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/naibu-waziri-nditiye-afanya-ziara.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Naibu Waziri Nditiye afanya ziara Vodacom"

Post a Comment