MPOTO ASEMA RAIS MAGUFULI NI MMOJA WA SHABIKI WA NYIMBO ZAKE

MPOTO ASEMA RAIS MAGUFULI NI MMOJA WA SHABIKI WA NYIMBO ZAKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MPOTO ASEMA RAIS MAGUFULI NI MMOJA WA SHABIKI WA NYIMBO ZAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MPOTO ASEMA RAIS MAGUFULI NI MMOJA WA SHABIKI WA NYIMBO ZAKE
kiungo : MPOTO ASEMA RAIS MAGUFULI NI MMOJA WA SHABIKI WA NYIMBO ZAKE

soma pia


MPOTO ASEMA RAIS MAGUFULI NI MMOJA WA SHABIKI WA NYIMBO ZAKE


Na Khadija Seif,Globu ya jamii

MSANII wa Mrisho Mpoto a.k.a Mjomba amewashauri wasanii nchini kutengeneza tungo zitakazofichua uovu huku akielezea furaha yake kutokana na nyimbo zake kukubalika hata kwa Rais Dk.John Magufuli.

Akizungumza na Michuzi Blog Mpoto amesema nyimbo nyingi kwa sasa zimejikita zaidi kwenye mapenzi, na kusababisha wasanii wengi kuonekana ni wa aina moja.

Aidha ameeleza si kufanana kwa tungo tu bali pia hata miondoko ya uimbaji imekua ya kufanana sana kiasi kutokujua sauti ya nani pindi unaposikia wimbo kwenye redio.

Wakati huo huo Mpoto amesema amefurahishwa na juhudi za Rais Dk.John Magufuli kwa kuwa shabiki wa kazi zake kutokana na ustadi wa mashairi yake jinsi anavyomkumbusha baadhi ya mazuri pamoja na maovu yanayoendelea katika jamii.

"Sitegemei kutoa ngoma kwa sasa kutokana na wimbo wa Sizonje unaendelea kufanya vizuri sana toka nilipouachia na muitikio umekua mkubwa hadi Rais Magufuli ameweza kung'amua baadhi ya mashairi yanazungumza nini na kueleza anamjua Sizonje" alisema Mpoto .

Kuhusu utunzi wa nyimbo zake,Mpoto amesema baadhi ya kazi huchukua siku,wiki,mwezi hadi mwaka huku akiangalia na kuzingatia sana hadhira inahitaji kusikia kipi kwani mashairi yake yanakusudia kuigusa jamii zote hasa wa hali ya chini .

Pia amesema mambo yanabadlika anaweza kwa mwaka huu mashabiki zake watamshuhudia akivaa viatu.

Ametoa mwito kwa wasanii kujitengenezea utambulisho wao wa kipekee kwa hadhira ili kusaidia kazi zisiibiwe na maharamia .



Hivyo makala MPOTO ASEMA RAIS MAGUFULI NI MMOJA WA SHABIKI WA NYIMBO ZAKE

yaani makala yote MPOTO ASEMA RAIS MAGUFULI NI MMOJA WA SHABIKI WA NYIMBO ZAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MPOTO ASEMA RAIS MAGUFULI NI MMOJA WA SHABIKI WA NYIMBO ZAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/mpoto-asema-rais-magufuli-ni-mmoja-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MPOTO ASEMA RAIS MAGUFULI NI MMOJA WA SHABIKI WA NYIMBO ZAKE"

Post a Comment