title : Mkutano wa siku moja juu ya mradi wa afya kamilifu wafanyika kisiwani Pemba
kiungo : Mkutano wa siku moja juu ya mradi wa afya kamilifu wafanyika kisiwani Pemba
Mkutano wa siku moja juu ya mradi wa afya kamilifu wafanyika kisiwani Pemba
MRATIB wa Tume ya Ukimwi Kisiwani Pemba Nassor Ali Abdalla, akifungua mkutano wa siku moja kwa waandishi wa habari, juu ya mradi wa afya kamilifu unaoendeshwa na amref Health Africa kanda ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa kitengo cha habari na Mawasiliano kutoka tume ya ukimwi Zanzibar, Saadat Sihaba Iddi, akizungumza na waandishi wa habari Kisiwani Pemba, juu ya uwepo wa mradi wa afya kamilifu unaoendeshwa na Amref Health Africa Kanda ya Zanzibar .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MRATIB wa huduma za kuzuia Maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kutoka ZCP, Hamida Omar Bungalah, akiwasilisha mada ya juu ya hali halisi ya ushiriki wa kinamama wanaoishi na VVU kwenda kiliniki na watoto wao .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
mratibu wa Mradi wa Afya Kamilifu kutoka Amref Health Africa kanda ya Zanzibar, Dr Mohamed Hassan akitoa maelezo juu ya mradi huo kwa waandishi wa habari Kisiwani Pemba, wakati wa kuutambulisha rasmi mradi huo .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya waandishi wa habari wanaotumia blog wakijadiliana kazi za kufanya wakati wa utekelezaji wa mradi wa afya Kamilifu unaoendeshwa na Amref Health Africa Kanda ya Zanzibar .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Hivyo makala Mkutano wa siku moja juu ya mradi wa afya kamilifu wafanyika kisiwani Pemba
yaani makala yote Mkutano wa siku moja juu ya mradi wa afya kamilifu wafanyika kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano wa siku moja juu ya mradi wa afya kamilifu wafanyika kisiwani Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/mkutano-wa-siku-moja-juu-ya-mradi-wa.html
0 Response to "Mkutano wa siku moja juu ya mradi wa afya kamilifu wafanyika kisiwani Pemba"
Post a Comment